kufanana na mtoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ni Nature Mwanaume anapenda na anafurahi kufanana na Mtoto wake

    NI NATURE MWANAUME ANAPENDA NA ANAFURAHI KUFANANA NA MTOTO WAKE Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hili Wala siô Siri ingawaje wàpo wachache watapinga lakini ukweli utabaki ukweli Siku zote Wanaume hufurahi Sana na Kupenda pale àmbapo Mtoto aliyemzaa anapofanana na kuelekeana naye Kwa kiasi...
  2. Mtoto niliyemkataa miaka 4 iliyopita, anafanana na mimi. Sasa ameletwa karibu na ninapoishi

    Wanajamvi aisee nilimkataa mtoto miaka kama minne imepita. Sasa ubaya leo kaja na mama yake sehemu ambayo karibu na kwangu, mtoto anafanana na mimi mpaka nimeona aibu nikaangalia pembeni. Sasa ubaya mama yake sijui kafanya makusudi kahamia huu mtaa aisee yaani dogo bora asingefanana na mimi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…