Inawezekana kutoboa ila unahitaji nguvu kubwa sana mana unakuwa huna backups kutoka kwa mjomba shangazi wala mamkubwa.
Kuna wengine wanapewa mitaji na ndugu
Wanapewa connection na ndugu
Hata wakikwama wanapewa support na wazazi wao ni rahisi kufanikiwa
Oya tupambane sio rahisi
nimejenga mazoea na mlinzi anaelnda sehemu jirani, mara kadhaa mida ya jioni huwa tunajuliana hali
Katika stories kuna siku aliwah kuniambia kazi inamtesa sana, Usiku ni lazima aingie kazini saa 12 jioni mpaka kesho yake alfajiri saa 12
Analalamika kampuni inapewa laki 6 yeye anaachiwa laki 1...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.