kufanya ibada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kiredio Jr

    Hapendi nikose swala moja tu kwa siku, ananuna na kukasirika endapo nikikosa kufanya ibada

    Habarini wadau Yapata miezi kadhaa sasa tangu nipate mwenza, lakini ugomvi wake na mimi ni pale nitakapo acha kuswali swala moja tu kwa siku, hapo lazima nitoe maelezo na kununiwa. Yeye ni mwanamke mwenye misingi ya dini na elimu ya dini ya Kiislamu, mimi pia ninafahamu lakini sio sana...
  2. U

    Kwa wanatheolojia kwanini ukitaja Jumapili mbele ya Wasabato wanakosa amani, na kuishia kuinenea mabaya siku hiyo? Je ni siasa, chuki au Imani?

    Wadau hamjamboni nyote? Wapendwa naleta bandiko hili Kwa njia ya swali nikiwa na umakini mkubwa. Nimezingatia utafiti usotia shaka wala kuegemea upande wowote na ulio na ushahidi wa kutosha Kwanini ukiitaja siku ya Jumapili mbele ya Wasabato huwa wanakereka na huishia kuitoa thamani siku...
  3. Tlaatlaah

    Siku Muhimu ya Kuliombea na Kulipongeza Jeshi la Polisi Tanzania kwa Kudumisha Amani na Utulivu Nchini

    Mpaka sasa umoja, amani na utulivu wa wananchi katika kila kona na pembe ya nchi, ni imara na kuna usalama wa kutosha na wa uhakika sana. Hii ni ishara kwamba vyombo vingine vya ulinzi na usalama nchini, viko tayari kujitolea kulinda wananchi na viko imara zaidi. Hakuna kitisho cha vurugu...
  4. Yoda

    Waziri mkuu wa India asherehekea na kufanya ibada kuzaliwa kwa ndama katika makazi yake

    Waziri mkuu wa India, Narendra Modi amesherehekea pamoja na kufanya ibada baada ya kuzaliwa ndama wa ng'ombe mwenye alama nyeupe kichwani katika makazi yake ya 7, Lok Kalyan Marg. Modi alisema makazi hayo yamebarikiwa kwa ujio wa ndama huyo aliyempa jina la Deepjyoti(mwali wa moto). Katika dini...
  5. Jack Daniel

    Nia ya kweli, uamuzi wa kweli na msimamo wa kweli

    Hello JamiiForums, Leo ni jumapili ya mwisho ya mwezi wa saba kwa mwaka 2024 siku muhimu na siku pekee kuhudhuria kanisani baada ya kuasi kwa takribani miaka sita. Mungu ni mwema Mungu ni muweza, amenifanya kiumbe kipya najisikia faraja na furaha baada ya kuirejea na kuitimiza ibada kwa...
Back
Top Bottom