umesubiri kwa muda mrefu then simu hyo “Fika kwenye usaili siku fulan muda huo” umejipanga vzur kusali sana Nondo zimekaa..
Unafika kwenye uwanja wa usaili unakutana na mwenzio pia amekuja kwenye hiyo hiyo Interview.. hapo kuna Kuwaga na watu kazi Yao ni kukupotezea direction tu yan anakupoteza...
Wakuu kwema??
Naomba nilete huu uzi hapa ili tuweze kupeana hints za hii job
Ukwl kwamba hii job imechukua watu wa fani tufauti tofauti kupiga hii interview
Naijiuliza ili uweze kudufua hii job unahitaji kujikita kwenye nini hasa?
Common predictable question zinaweza kuwa kama zipi?
Hii...
Utumishi tayari imeita vijana kwenye interview post: electrical technician II, kwa wale ambao tayari mnau zoefu na interview hizi mmeshawahi kuzifanya naomba tusaidiane kujuzana namna ya maswali yanavyokuwa kuwa huko katika interview zote tatu
Written interview, practical interview, na Oral...
Habari za muda huu ndugu zangu naomba kufahamishwa kama kuna mtu alishawahi kufanya interview za electrical technician utumishi tusaidiane namna ya maswali yanavyokuja katika interview zote tatu written, practical and oral
Au pia kwa mtu yeyote mwenye uelewa na interview hizo ruksa kushare...
Habari humu ndani.
Naomba kujuzwa kwa wenye uzoefu na wanaojua maswali yanayoulizwa kwenye interview za AJIRA MSF.
Shirika hili kwa pale Liwale linajishughulisha na mradi wa Afya ya Mama na Mtoto, sasa pia ningependa kuuliza Je maswali yao katika usaili wao yatahusisha tu Afya ya mama na...
Habari ya muda huu,
Mimi ni recent graduate wa Bachelor degree, nilituma CV ya kuomba position ya Junior Safety Officer....na hatimaye leo jioni nimepigiwa simu kuwa kesho nifike kwa ajili ya interview.
Naomba muongozo na vitu vya kuzingatia maana ndio interview yangu ya kwanza.
Natanguliza...
Habari wapendwa nipo na ndugu aliomba kazi za afya zilizotangazwa yeye ni clinical officer na alifanikiwa kuchaguliwa baada ya mtihani wa usaili.
Sasa wakati anasubr siku ya oral interview ameibiwa pochi yake ikiwa na leseni yake ya kazi. Naomba msaada wenu afanyeje ili aweze kuwa eligible na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.