kufanya kazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Kati ya Bank na law firm wapi pazuri kufanya kazi

    Habari viongozi...nilikua naomba ushauri kati ya bank position ya marketting ambayo sijasomea na law firm position ya administrative officer wapi penye manufaa ukifanya kazi interms of career development,financial benefits na potential for growth... NB.Zote nimepewa probation period ya miezi sita
  2. W

    Zaidi ya Degree 100 zimefutwa baada ya vyuo 15 kufanya kazi kinyume na Sheria Kenya

    Nimewaza tu kwa sauti kwamba mtu umepigika zako miaka mitatu ya kutafuta digrii alafu unakuja kufutiwa kwamba ni feki. =================================== Tume ya Elimu ya Vyuo Vikuu imetaja vyuo 15 vinavyofanya kazi kinyume cha sheria nchini Kenya na kuwaonya Wakenya kwamba vyeti vya kimasomo...
  3. youngkato

    Pesa nyingi ninazopata kwenye Freelancing zianaishia kuwalipa vijana wanaonisaidia kufanya kazi. Hii level inaitwa dropservicing

    Pesa nyingi ninazopata kwenye Freelancing zianaishia kuwalipa vijana wanaonisaidia kufanya kazi. Hii level inaitwa dropservicing Nitakuelekeza mambo muhimu ya kuzingatia ili uweze kufanya dropservicing... Pia ukitaka kufanya freelancing zingatia haya Kwanza kabisa lazima uanze kama freelancer...
  4. Azoge Ze Blind Baga

    Nadaiwa na kampuni wameacha kufanya kazi na mimi na sina mchongo wa kupata hela ya kuwalip kwa sasa je endapo nitapelekwa mahakamani sheria inasemaje

    Kama mada inavyojieleza, nilikua nafanya kazi na kampuni flani sasa kuna hela kidogo nliitumia kwa kutegemea nitailipa kadri ninavyoendelea kufanya kazi Sasa ghafla jamaa wakaniachisha kazi wakati bado sijamaliza lile deni na sikuwa nalipwa mshahara ni commision tu ambayo ndo nlikua naitumia...
  5. Lycaon pictus

    Ushuru wa USA kwa Canada, Mexico na China vimeanza kufanya kazi rasmi

    Baada yakusitisha kwa mwezi mmoja, Trump kasema Canada na Mexico hawajafanya lolote kuboresha hali ya mipakani. Basi ushuru wa 25 percent kwa bidhaa kutoka Canada na Mexico umeanza kufanya kazi rasmi. China imeongezewa ushuru kufikia asilimia 20, toka 10. Waziri mkuu wa Canada ameongea na...
  6. Yongpalmuel

    Mtu anayeenda kufanya kazi wilaya ya butiama.

    Habari za mchana? Nilikuwa napenda kufahamu kwa ujumla mazingira ya wilaya ya butiama kwa mtu anayeenda kuanza kazi katika wilaya hiyo. Kwenye upande wa mazingira na tamaduni za huko butiama ? Gharama pia za maisha huko butiama zipoje ? Kama nyumba na vyakula. Pia wanajidhughurisha na kilimo...
  7. Stephano Mgendanyi

    Ndaisaba Ruhoro anauliza; Ni Upi mkakati wa Serikali wa kuwezesha Vituo vya Forodha vya Murusagamba na Kabanga, kufanya kazi saa 24

    Serikali imesema kuwa inafanya jitihada ili Kituo cha Forodha cha Pamoja (OSBP) Kabanga, kinachotoa huduma kati ya Tanzania na Burundi, kiweze kutoa huduma saa 24 ili kuongeza ufanisi. Hayo yameelezwa bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), alipokuwa...
  8. oooza

    Ushauri: Niendelee kubaki Private institution au niende nikafanye kazi ya mtu binafsi

    Habarini wana jamvi. Kutokana na vijana wengi waliopata nafasi za kuajiriwa kwa mikataba ya muda maalum katika mashirika binafsi hujikuta kuendelea kuomba nafasi sehemu zingine huku wakiwa bado wapo katika mikataba yao ya awali. Binafsi nimejikuta nimesomea fani ya Ujenzi nikiwa chuo as a...
  9. milele amina

    Watanganyika tunahitaji kujitathmini kuhusu matumizi yetu ya muda na fedha, ili kujenga kizazi cha kujitegemea na kujiamini kufanya kazi bila misaada

    Ndugu zangu ,Watanganyika, kuna hali inayoleta maswali mengi kuhusu matumizi ya muda na fedha zetu. Siku hizi, tunaona watu wengi wakijitokeza kusherehekea "birthday" ya Saa100, lakini ni muhimu kujiuliza: ni kweli tunatumia vizuri muda wetu? Je, tunafanya kazi za kimaendeleo au tumejikita...
  10. I

    Watumishi wa Umma washauriwa kufanya kazi nyumbani Tarehe 27/28 Jan. Sasa si bora watangaze siku mbili za mapumziko tu.

    https://www.instagram.com/p/DFScSN8C6Ko/?igsh=dmNjZ21lb2tscnJj Wangesema tu kusiwe na kazi kwa siku 2 kuepusha purukushani. Maana kiuhalisia itakuwa ni mateso tu katika swala zima la usafiri.
  11. tpaul

    Kama Rais hataki kufanya kazi na Kassim Majaliwa amuombe ajiuzuru kama Philip Mpango

    Sitaki salamu, naingia kwenye mada moja kwa moja. Wahenga walisema akutukanaye hakuchagulii tusi na asiyekutaka hakuambii toka bali atakutoa kwa visa ovu dhidi yako. Kabla ya kwenda mbali kwanza naomba ku declare intrerst kuwa mm ni mwanaCCM kindakindaki na juzi nilikuwepo ndani ya ukumbi kule...
  12. Yoda

    Baye Fall; Waislamu wanaoamini katika kufanya kazi zaidi kama ibada muhimu

    Huko Sengal na Gambia kuna tawi la imani ya Kiisalmu lenye umaarafu na ushawaishi mkubwa maeneo hayo linaloitwa "Baye Fall" ambalo lilianza zaidi ya Karne moja iliyopita. Hawa Waislamu wa Baye Fall walichipukia kutoka kwa sheikh mmoja aitwaye Ibrahima Fall wa mrengo wa Kisufi miaka ya 1880's...
  13. ranchoboy

    Nimeacha Kazi Bila Mkataba, Sasa Nadaiwa Kulipa au Kufanya Kazi Bila Malipo – Naomba Ushauri wa Kisheria

    Habari wanajukwaa, Nahitaji msaada wa kisheria kuhusu suala linalonihusu. Nilikuwa nafanya kazi sehemu fulani bila kuwa na mkataba wa maandishi. Hivi karibuni niliamua kuacha kazi, lakini meneja wa kampuni amenipa chaguo mbili: Kulipa pesa ya mshahara wa mwezi mmoja. Kufanya kazi kwa mwezi...
  14. K

    Kama unataka kufanikiwa kweye maisha, acha kufanya kazi za kimasikini zenye asili ya kimasikini.

    Fanya kazi au biashara ambayo unaweza kukuinua, kuna kazi ukifanya automatically umejiandaa kuwa masikini. Kazi zenye asili za kimasikini ni zile kazi ngumu ngumu zenye malipo madogo. HUWEZI kujenga au kuwa na maisha ya maana kwa kazi ya Bodaboda nk Fanya biashara ambayo histologically...
  15. B

    Pamoja na Yusuf Kagoma kufanya kazi chafu pale kwenye dimba la katikati, Simba iongeze kiungo no. 6

    Uchawi wa mpira now days upo kwenye nguvu ya viungo katikati ya uwanja. Zamani uchawi wa mpira ulikuwa unaamuliwa na kasi ya mawinga ndio maana mawinga kama akina Ribbery, Arjen Robben, Wright Phillips, Theo Walcott na wengine wengi walitisha sana kwa kasi zao. Lakini mifumo ya mpira...
  16. Rozela

    Kama umewahi kufanya kazi Lodge na hujamalizia show (KUFANYA UPONYAJI) huenda huna bahati

    Kipindi nimemaliza kidato cha 6 nilikuwa nasimamia lodge ya ndugu yangu kipindi nasubiri kwenda chuo, sasa leo natoa siri kwa wanaume, ukienda lodge na demu wako kuanzia leo, hakikisha unaondoka naye. Iko hivi, kuna watu wanapiga show kizembe halafu akimaliza anavaa fasta anaondoka anaacha...
  17. Poor Brain

    Je, ushawahi kufanya kazi za usiku?

    Usiku una mambo mengi mno Mda huu wa usiki kila mtu anautumia kivyake, kuna wale wa kulala. Kuna wale wa kuwanga, kuna wale mafundi ila kuna sisi wengine ambao keyboard ndo chakula chetu. Kwangu mimi hizi kazi za usiku zimekua too much mpaka nasema hivi ni.lini takua na mpenzi ambaye anaelewa...
  18. Mwachiluwi

    Lengo lenu nini mnao wakataz wake zenu kufanya kazi?

    Mnafact ipi inayo wafanya kuwazuia wake zenu kufanya kazi au kufanya biashara wengine mme waachisha wake zenu kazi mliwakuta wameajiriwa lakini baada ya kuwaoa mmewapiga pini wasijushugulishe na kazi. Mnaongeza idadi ya magoli kipa kuwa wengi mwisho wa siku mkija kufa mashemeji na mawifi ndio...
  19. Kang

    WhatsApp kuacha kufanya kazi simu za zamani Jan 1

    Meta wameamua kuacha kussuport simu zenye Android KitKat (4.4) kwenda chini kuanzia Jan 1 2025. Baadhi ya simu maarufu ambazo zitaacha kufanya kazi ni Samsung: Galaxy S3, Galaxy Note 2, Galaxy Ace 3, Galaxy S4 Mini Motorola: Moto G (1st Gen), Razr HD, Moto E 2014 HTC: One X, One X+, Desire 500...
  20. D

    Hivi Mbowe, Lema, Sugu na wenje mbali na siasq wanaweza kufanya kazi gani? Lisu naona yuko katika genge la wahuni na zero brains.

    Kwa vyovyote tulitegemea mbowe awe dictator ndani ya chama mana nje ya siasa hana cha kufanya mana hata form four hakumaliza vile vile mnyika alidisco pale udbs alipokuwa anasoma bba. Watanzania mjue hawa hawaki kwa maslahi yenu bali ni njia ya kujinufaisha wao wenyewe. Uzuri kwa hili...
Back
Top Bottom