Nashauri vikao vifanyike, kila siku tukijiandaa kupiga propaganda zetu, tukio linatokea mpaka tunakata tamaa. Hatuwezi kuyazuia, sasa sijui tufanyeje.
Wiki hii yote tutajadili mambo ya Morroco 2025, mpaka kumaliza mjadala, uchaguzi wa mitaa umekwisha. Tunaingia kwenye michango ya Niffer na...
Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni haki ya msingi Kwa chama chochote Cha siasa kufanya maandamano ya amani Ili kufikisha ujumbe muhimu Kwa serikali inayotuongoza.
Hata hivyo haki hiyo imekuwa ikiminywa na watawala Kwa kulitumia Jeshi la Polisi, Kwa kisingizio tu Cha...
Mwenye macho haambiwi tazama kwa mfumo wa uongozi wa taifa letu ambapo rais anakuwa na nguvu nyingi kiwango kinachomfanya hata asie mkubali kujipendekeza kwake ni ngumu sana kwa wapinzani kuambulia chochote sanasana watakacho ambulia ni kile ambacho watawala wametaka.
Tunadanganywa kwamba eti...
Vyama vya upinzani kwa sasa vimekosa mvuto kabisa kwa sababu ya kukosa maarifa na kutotambua waongee lipi na waache lipi.
Fikiria, Rais Samia aliamua kuwafungulia kutoka kifungo cha kutofanya siasa for almost 5 years na baadhi walikimbia nchi. Mama akawafata huko huko na kuwarudisha.
Sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.