Habari wadau,
Ivi mfano wew ni muajiriwa wa serikali Tamisemi, ukabahatika kupata kazi Taasisi kwa kufaulu usaili kama watu wengine, mchakato wa kuhama upo vipi?
Naomba muongozo wenu natanguliza shukrani
Leo mida ya mchana wife akiwa anatoka kanisani alikuwa ameongozana na binti muhitimu wa chuo cha ualimu.
Hapa nyumbani nimefuga sungura wapo watatu nimenunua hivi karibuni baada ya madogo kuwapeleka kwa mfugaji mwenzangu wakawapenda sana nikaamua kuwanunulia .Muda ule walinikuta nahangaika...
Wakuu naombeni mwenye kuelewa dondoo za usaili kuandika (written) kwa kada editor ii anisaidie nipate mawili matatu yanatayojisaodia kukabiliana na mtihani wao.
Enyi mliopo kwenye wizara ya utumishi jitahidini mnapopanga mambo yenu mkumbuke hawa vijana wanaoomba ajira bado ni tegemezi kwa wazazi.
Mtoto(Dr) alipangiwa usaili wa kwanza Kibaha mkoa wa Pwani akafaulu,usaili wa pili amepangiwa akanye mkoa wa Mara hivi hamuoni ni kuumiza wazazi?
Yaani...
Habari wadau,
Mimi ni graduate wa food science mwaka jana sijawahi fanya interview kabisa kwenye maisha yangu.
Nimebahatika kupita written kwenda oral nafasi ya nutritional officer naombeni muongozo wenu, na maswali nayoweza ulizwa.
Habari wapendwa nipo na ndugu aliomba kazi za afya zilizotangazwa yeye ni clinical officer na alifanikiwa kuchaguliwa baada ya mtihani wa usaili.
Sasa wakati anasubr siku ya oral interview ameibiwa pochi yake ikiwa na leseni yake ya kazi. Naomba msaada wenu afanyeje ili aweze kuwa eligible na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.