kufanya utafiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Pinda: Kuunda timu ya wataalamu kuwabaini wamiliki wa mashamba na kutatua migogoro ya ardhi wilayani Kiteto

    Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Geophrey Pinda amesema ataunda timu ya wataalamu kufanya utafiti kuwabaini wamiliki wa mashamba ikiwa ni jitihada za kutatua migogoro ya ardhi wilayani Kiteto pamoja na mgogoro wa mpaka kati ya wilaya hiyo na Wilaya ya Chemba. Kupata matukio...
  2. Mzalendo Uchwara

    Baada ya kufanya utafiti wa kina juu ya rushwa, wizi na ufisadi ndani ya nchi, JPM alitaka kujenga CCM mpya, wazalendo njaa wa upinzani hawakumwelewa

    Iko hivi, nchi hii ili uwe mwizi na fisadi mwenye mafanikio basi ni lazima uwe na mafungamano na chama tawala na serikali yake. Yaani kama uko nje ya mfumo basi hakikisha unakula vizuri na walio ndani, wape 10% zao. Vigogo wa chama na serikali ndio wamehodhi biashara zote kubwa kubwa, na...
  3. M

    Ukitumia internet vizuri kufanya utafiti wako binafsi utagundua Uchawi haupo. Hakuna mganga wala nabii atakayekutapeli. Wajinga ndio waliwao

    Habari wadau Binafsi nashangaa sana watu hasa wasomi wenye smartphone wanaoamini story za ushirikina zama hizi Ukweli ni kwamba ukijipa muda wako kujifunza zaidi kuhusu cognitive science and psychology, Human psychology na Science of Emotion ilivyo. watajua ukweli mwingi sana wa ubongo...
  4. OKW BOBAN SUNZU

    Mwarabu mwingine apewa mkataba wa kufanya utafiti, kazi ambayo ingefanywa na wataalamu wetu

    Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na kampuni ya TAQA ya nchini Misri wamefikia makubaliano ya kushirikiana katika kufanya utafiti na kuangalia masoko ya gesi asilia katika Mkoa wa Dar es Salaam. Akizungumza katika hafla hiyo Mkurugenzi wa Idara ya Biashara ya Mafuta na Gesi kutoka...
  5. Suley2019

    Msifunge ndoa kabla ya kufanya utafiti

    Imeelezwa kuwa wanandoa wengi wamekuwa wanaharakati zaidi kuliko kuwa walezi wa ndoa zao, jambo ambalo linasababisha migogoro kwenye familia na kuzifanya zivunjike. Hayo yalisemwa jana jijini hapa na Mkurugenzi wa Asasi ya TaMCare, Dk Enock Miyuka alipokuwa anazindua kliniki ya ndoa na...
  6. MSAGA SUMU

    Baada ya kufanya utafiti kwa miaka 3, leo nimeconclude rasmi hamna njia yoyote ya kungiza hela bila kufanya chochote

    Huu utafiti nimeufanya kwa muda mrefu au zaidi ya miaka mitatu na jibu nililopata ni kuwa hamna njia yoyote ya kupata hela bila kufanya kazi, yaani uamke asubuhi hela zianze kuingiia zenyewe bila kufanya kazi. Lakini pia nimegundua kuna njia nyepesi nyepesi za kupata hela na nyepesi kuliko zote...
Back
Top Bottom