Habari zenu wana JF,
Mimi ni mgeni humu nimekuja kwenu kuomba ushauri na mawazo yenu maana humu kuna wataalamu mbalimbali.
Mama watoto wangu ni mjamzito wa takribani miezi 8 na point na amekuwa akihudhuria kilinic vizuri kabisa.
Alitakiwa kujifungua 09.02.2019 kwa mujibu wa maelezo ya kliniki...