kufeli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. nzalendo

    Nini chanzo Biashara ya mabasi kufeli?

    Miaka yote nimejikita katika malori..lakini kwa sasa napata upepo ndoto na maono juu ya biashara ya mabasi....lakini si mabasi ya kifahari....hapana ....la hasha.....ni mabasi kwa ajili ya huduma kwa raia....hasa kwenye njia mbazo ni za vumbi ndani ndani nje ya miji..... kwa daladala pamoja na...
  2. S

    Kutatua tatizo la ajali nchini kutokana na uharibifu au kufeli breki, LATRA waweke kikomo cha umri wa mabasi na malori kuruhusiwa kuwa barabarani

    Kuna mahali nilisoma kwamba unapoendesha gari yenye umri zaidi ya miaka 15 kwenda safari ya mbali, umri wa hiyo gari unaweza kuchangia wewe kupata ajali. Yaani, kadiri gari ilivyo ya umri mkubwa ndivyo ambavyo ina uwezekano mkubwa wa kupata hitilafu na kusababisha ajali hata vifo. Tanzania ni...
  3. Sam Richards

    Kufeli kwa biashara zinazoendeshwa na serikali ya TANZATOZO

    TANZANIA ndio nchi pekee duniani inayoendesha miradi yake kimkakati huku waendeshaji waliopewa dhamana hizo ni 1. Viziwi yaan hawasikii 2. Vipofu yaani hawaoni 3. Bubu yaan hawaongei na 4. Njaa yaani wanawekeza tumboni na familia zao... Mfano wa mradi uliofeli ni huu wa MWENDOKASI. 🤣 Kwa mara...
  4. Damaso

    TRC mnazidi kufeli kila uchwao.

    Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeanzisha mpango wa kununua injini za dizeli ili kuhakikisha huduma ya usafiri wa reli ya kisasa (SGR) bila kikwazo endapo umeme utakatika. Mkurugenzi Mkuu wa TRC, Masanja Kadogosa, amethibitisha hilo na kuelezea kuwa tayari kampuni moja imebainishwa kuzalisha...
  5. OMOYOGWANE

    Sometimes akili nyingi ndio chanzo cha kufeli kimaisha, ukiona imeshindikana kufanikiwa kimaisha jaribu ujinga

    Mtu mwenye akili timamu huwezi kumuambia ili atajirike inabidi akauze pipi kwa mtaji alionao au mayai ya kuchemsha kama kianzio kwa sababu anajua fika mtaji mdogo utampa faida ndogo ataona ni upotevu wa muda na nguvu kwa sababu hesabu anazijua. Sometimes ujinga ni mtaji. Lakini mtu asiye na...
  6. M

    Je, figo zinaweza kufeli ndani ya siku 25 baada ya renal function test normal?

    Habar wakuu nauliza nilifanya vipimo vya utendaji kazi Figo tar16/8/24 mloganzila majibu yalikuja mkojo protein negative bun normal, creatinine norlmal, ila Jana uskiu nimekula sana ubwabwa kuamka asubuhi. Nikaenda haja kubwa nyingi mno baada ya saa nikaenda Tena haja kubwa baada saa Tena...
  7. Abraham Lincolnn

    Kuanzishwa Samia Scholarship ni ishara kwamba serikali inayosimamiwa na Samia kufeli katika Elimu hususan kusimamia HESLB

    Kisheria bodi ya mikopo ya elimu ya juu pekee ndiyo bodi rasmi ya serikali ya kutoa mikopo, kulingana na vigezo mbalimbali vilivyowekwa. Wako vijana wanaokosa mikopo wakati wanavyo vigezo vyote, kwanini fedha hizo zielekezwe kwa wengine ilihali ni fedha ya umma na inatolewa kwa mfumo na...
  8. Mkalukungone mwamba

    Vilabu vyetu vya Tanzania vinazidi kufeli kwendana na kasi ya soko la kuzinduwa jezi mpya za msimu husika

    Tunaendelea kuviona Vilabu vingi vya mpira hapa Tanzania vimekosa kuwa na jicho la ziada katika Jezi mpya katika msimu husika kuzitoa mapema hata kabla msimu mpya kuanza. Eneo la Jezi ni moja ya sehemu ya kupata mapato ambayo yatachangia kwa kiasi kizuri kuendesha klabu katika matumizi yao ya...
  9. S

    The power of failing successfully (Kuna nguvu katika kufeli kabla hujatoboa)

    Habari wanajamvi, Leo sina maneno mengi. Katika pitapita zangu nimekutana na concept moja inaitwa "How to fail successfully". Kwamba kufeli ni lazima, inategemea tu unaichukuaje, na unaishije baada ya changamoto. Ni hivi: Failure as a Path to Success: (Kushindwa ni sehemu ya njia ielekeayo...
  10. kavulata

    Simba wanasajili bila kocha mkuu, kufeli kunaanzia hapo

    Huwezi kumsajilia wachezaji kocha, mtasumbuana sana kwenye matokeo. Unamtumia Mgunda na Matola kwenye usajili kisha timu unamkabidhi mzungu aifundishe!!! Umefeli kabla ya ligi kuchezwa.
  11. Mr Mlokozi

    Je, ni sahihi mzazi kumlaumu mwalimu moja kwa moja kutoka na kufeli kwa mtoto wake?

    sote tunapaswa kukubaliana kwamba ili matokeo ya wanafunzi yawe mazuri panahiitajika ushirikiano uliotukuka katika mzazi, mwalimu na mwanafunzi huku kila mmoja akitimiza wajibu wake kadiri impasavyo kufanya na ikitokea mmoja au wawili kati yao hajatimiza majukumu yake daima matokeo yataendelea...
  12. Mr Beast

    Wewe unayesumbuliwa na nuksi, mikosi, mabalaa, Biashara, Umasikini, migogoro kwenye familia, kufeli masomo, michezo, njoo kwa Bulldozer Mwamposa

    Bwana Yesu asifiwe, Jumapili hii, Mtumishi wa Mungu na mpakwa mafuta Apostle Bornface Mwamposa Bulldozer ataongoza maelfu katika ibada ya kula keki ya Upako hapa Kawe siku ya Jumapili, Kunamtu ulilogwa tangu ukiwa tumboni mwamama yako au wakati tu unazaliwa watu wabaya wakafanya yao...
  13. amshapopo

    Hela ndogo ndogo unazozidharau ndo chanzo cha kufeli kwenye maisha yako

    Wasalam, Watanzania wengi tumekuwa na tabia ya kudharau pesa ndogo ndogo tuzipatazo. Chukulia mtu anaingiza ujira wa 10,000 kwa siku anakula na kutumia yote bila kusave chochote. Just imagine kama angesevu hata 3,000 kila siku kwa mwezi angeweza hata nunua mfuko wa mbolea kutosha kuanzia kulima...
  14. Intelligent businessman

    Uraibu ndiyo chanzo cha wengi kufeli katika maisha yao

    Uraibu ni hali ambayo Ina patikana wakati ambao Roho au mwili, unataka mno kuwa na hisia fulani. 👉Kiasi Cha kuwa na matatizo kutekeleza shughuli fulani, mpaka upate hisia inayo lengwa. Kwa miaka ya karibuni kumeibuka baadhi ya mifano ya uraibu, ambayo isipokemewa basi itapelekea kupotea kwa...
  15. King Jody

    Kufeli Mitihani siyo kufeli maisha

    Nikiwa katika matembezi mara nikasikia mlio wa honi ya gari kugeuka nakutana na jamaa niliyesoma naye darasa moja, [Class mate] Aliposhusha kioo cha gari na kunisabahi, Nikabaki nashangaa, Jamaa kwa muonekano wa haraka haraka yupo vizuri kiuchumi, Mavazi ya gharama na Micheni ya dhahabu...
  16. R

    Mabilioni ya kikao cha viongozi wa wizara ya nishati chamtoa Makamba; lipo pia suala la REA na ufanisi mdogo alionao

    January Makamba ameishi maisha mazuri toka utotoni si kwa sababu alikuwa bora kuliko wengine bali baba yake alitumia madaraka yake kumfanya aishi kwa rasilimali za nchi. Tukumbuke familia hii tofauti na kuwa watumishi wa umma wenye mshahara wa chini kabisa wamekuwa wakiishi maisha ya juu bila...
  17. MKATA KIU

    Wanawake waliofanikiwa sana kiuchumi na career zao, kuliko wote Tanzania pia wamezaa watoto wengi uzazi sio sababu ya mwanamke kufeli

    Wanawake wengi wa kisasa waoga na wavivu sana kuzaa Mwanamke umeolewa ila anampangia mume wake idadi ya watoto atakaozaa. Mtoto mmoja ama wawili tu Wanasema watoto wanaharibu career zao. Kwa uchunguzi wangu binafsi wanawake tatu bora waliofanikiwa kuliko wote tanzania ni hawa Namba moja...
  18. Money Penny

    Mwanaume anaemsikiliza mwanamke hawezi kufeli

    Ndio hivyo Kwani uongo?? Tatizo hamtusikilizagi Na wote mnaotusikiliza mnatoboaga Sana kimaisha 1 Peter 3:7-9 New Living Translation (NLT)In the same way, you husbands must give honor to your wives. Treat your wife with understanding as you live together. She may be weaker than you are, but...
  19. H

    Malalamiko ya Madaktari Watarajali (Interns) kuhusu kufeli mitihani ya MCT

    Malalamiko ya Madaktari Watarajali (Interns) kuhusu kufeli mitihani ya Mct: Kama Mdau wa Afya, nimeisoma barua ya wazi ya madaktari tarajali (interns) ya tarehe 21 July. Nimesikializa press ya madaktari hao ya tarehe 04 August. Lakini pia nimeona taarifa kwa umma ya Wizara ya Afya ya tarehe...
Back
Top Bottom