Nawasalimu Salam ya wakati huu.
Kiukweli kabisa Mimi hili suala mpaka kesho sijawahi kulielewa,
Kama tunaambiwa kwamba dhambi zetu yesu alizimaliza msalabani sasa kwanini watu wanalia na kusaga meno kila siku wasamehewe dhambi zao?
Je, kuna makundi ya dhambi zilizosamehewa na ambazo bado ama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.