kufia msalabani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kama kweli Yesu aliteseka msalabani kwaajili yetu ili tusamehewe dhambi zetu, sisi tunatubu ili iweje?

    Nawasalimu Salam ya wakati huu. Kiukweli kabisa Mimi hili suala mpaka kesho sijawahi kulielewa, Kama tunaambiwa kwamba dhambi zetu yesu alizimaliza msalabani sasa kwanini watu wanalia na kusaga meno kila siku wasamehewe dhambi zao? Je, kuna makundi ya dhambi zilizosamehewa na ambazo bado ama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…