Wakuu habarini za saa hizy??
Ndugu zangu naandika uzi huu nikiwa nimejawa na furaha ya kuepusha kuvunjika kwa mahusiano yangu.
Jana usiku nikiwa na mpenzi wangu getoni kwangu, kwenye muda wa saa sita usiku hivi, mara paap! Simu inaita..kuangalia, nakuta ni namba ya msichana mmoja hivi...