Wakuu habari zenu. Natumaini mu wazima.
Kama title inavyosema hapo juu hivi ni kitu gani/sababu gani inayofanya kumwaga\kuejaculeti mapema ni nini sababu maana nilishawahi kufuatwa na watu kama wawili wakinieleza tatizo kama hilo sasa mimi nikishindwa kuwajibu.
Basi wakuu nilikuwa naomba kama...