Tony Atlas kutoka kuwa mcheza mieleka maarufu duniani na kufilisika hadi kukosa sehemu ya kulala, Jamaa alikua ni kati ya wacheza mieleka (wrestlers) wakubwa duniani na akatengeneza pesa nyingi ghafla ukaanza mgogoro kati yake na mke wake Joyce White aliyeishi nae miaka 24 na kupeana talaka...
Nimeona kwenye vyombo vya habari na kwenye mitandao, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam akiwasema waislamu wanao mkosoa HMh Rais, kuwa kwa uislamu wao wasifanye hivyo.
Hapo naingia wasi wasi mkubwa kwa kiongozi wa juu kiserikali na kichama.
Staa wa muziki Bongo, Diamond Platinumz leo amekutana na Ramadhani Kasawa maarufu Kama 'Mzee Makosa' ambaye alitamani Kukutana nae baada ya kutazama interview yake kwenye mitandao ya Kijamii akielezea namna alivyofilisika kutoka kwenye Utajiri wakutupwa aliokua nao.
Soma, Pia: Anaefahamu...
Moja ya jambo linalotisha kwenye maisha ni kufilisika, ulikuwa na mali zako kidogo zinakusogeza na zinakupatia chochote, una watu wamekuzunguka unawapa kazi na unawapatia chochote japo kidogo, then inatokea hiyo hali inakata, humiliki Cha maana, mission za mjini zimekata, huonekani aisee...
Moja ya mambo yanayotisha sana katika maisha ni kufilisika. Ulikuwa na mali zako kidogo zilizokuwa zinakusaidia na kukupatia chochote, na ulikuwa na watu waliokuzunguka ambao uliwapa kazi na japo kidogo cha kuwasaidia. Kisha, ghafla hali inabadilika, na unakuta huna chochote cha maana. Mission...
Nadhani Chadema kuna tatizo, katika mawakili wa bei mbaya nchi nzima alikuwa Tundu Antipas Lissu, alikuwa bilionea.
Tangu ajiunge Chadema, amefilisika kabisa, hana kitu, mpaka anaomba omba hela ya kununua gari.
Atakuja kupata mjukuu aitwaye Majuto, na hapo bado ana nguvu, chadema watamtumia...
Hello wadau,
Baada ya kujaribu kuboresha huduma zetu na ku introduce mfumo mpya wa mauzo, wateja wamepungua maradufu, jambo linalohatarisha uhai wa biashara yetu.
Nimeelezea kwa kuonyesha mfumo wetu wa zamani na mpya na plan niliyonayo kuihuisha biashara yangu katika video hapa chini.
Naomba...
Bila Benki Kuu na Wizara ya Fedha kuongilia kati, naona mgomo mkubwa unanukia Arusha au Nchi Nzima kutoka kwa mawakala wa mabenki na taasisi za fedha wanaokusanya madeni mara baada ya Makonda kuanza kuwakamata baada ya kutimiza majukumu yao.
Hii itakuwa na athari kubwa kiuchumi kwa kuwa fedha...
Habari za wakati huu;
Ni matumaini yangu kwamba mnaendelea salama na jitihada zenu za kujenga uchumi binafsi na wa Taifa.
Kwa heshima na taadhima kabisa nimeona leo nilete mjadala kuhusu Mtu aliyefilisika au kwa lugha ya mtaani Kufulia na Mtu Maskini/Fukara.Lengo la kuleta mjadala huu ni ili...
Haya wadau,
White House warns it is running out of money to help Ukraine fight its war with Russia
The White House has warned that the US is running out of time and money to help Ukraine fight its war with Russia. The White House budget director, Shalanda Young, issued the warning in a letter to...
Wakuu kwa siku kadhaa nimesoma kwa umakini uzi unaouliza kilichotokea hadi baadhi yetu tukaanguka kimaisha. Mimi pia nilitoa maoni yangu na kuelezea kwa ufupi jinsi ilivyokuwa hadi nikaanguka. Sababu kuu ilikuwa kuendekeza mbususu. Lakini sikuelezea kiundani niliwezaje kusimama tena baada ya...
INTRODUCTON.
Leo naongea na wote wenye uhitaji wa pesa, Kila mpango wako kupata pesa umekwama,
Naongea na wote wenye ukata wa pesa, walioajiriwa na Wana mishahara lakini wanadaiwa Kila Kona, mshahara hautoshi.
Naongea na wenye biashara ndogo na za kati ambao wanafanya juhudi zote kujitoa...
Ndugu zangu Huwa nakaa nakuwaza hivi kweli hii nchi sisi Watanzania ni yetu kweli au Kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia, kwani Kwa yanayoendelea ni kama vile nchi yetu inaongozwa na watu wasiokuwa na huruma hata kidogo.
Kiongozi atakacho kiamua yeye hata kama akina baraka za Wananchi...
Mnamo mwaka 2013 baba yangu alikutana na mchungaji mmoja huko Moshi na baba yangu akamueleza kiu yake ya kuwa karibu na Mungu kwani ujana wake hakuwa mtu wa kwenda kanisani. Mchungaji(jina limenitoka lakini ningemtaja) akamueleza habari za uwata na kwamba angemkutanisha na kiongozi wa dhehebu...
Habari wana jamvi JF
Toka nimeanza kujitegemea nimekuwa na vipindi maisha yananyooka. Yani kila unalofanya jah analibless . Ukitupa wavu sokoni kazima uvune pesa za kutosha. Sasa huwa naenda weeee kisha badae hela zile zinarudi zilikotoka yaani biashara inakuwa ngumu, ni kutumia tuuu na wakati...
Kuna familia na Koo zipo hakuna aliyemaliza form 4 wote elimu iliwashinda.
Kuna familia na Koo mmoja tu kafanikiwa kufika chuo na kumaliza ila kazi hana.
Kuna familia na Koo ndio unakuta masikini wa kukufuru, mabinti wote wamezalia nyumbani, hakuna aliyeolewa na vijana nao wote wameleta wake zao...
Wanabodi,
Katika kipindi hiki ambacho Shirika la Bima ya Afya Tanzania (NHIF) linafilisika, ni vyema kufahamu jitihada zinazo chukuliwa na serikali kuhakikisha kwamba watanzania walio jiunga na mfuko huu wanaelendea kupata huduma.
Kwanza kabisa tujaribu kuangalia athari ya shirika hili...
Miaka michache iliyopita nilipata kazi ya mkataba, nikawa nakunja milioni moja kwa mwezi, nikaona maisha si ndio haya. Bahati mbaya nikaangukia kwenye mikono ya watoto wa mjini, laki laki zilikuwa zinatoka kama vile njugu, mara ohoo nikasuke, mara nimeichoka hii Tecno nataka samsung, mara...
Habari,
Leo natka nilete mada ndogo ndani ya mada ndogo
Katika media tumewahi kukutana na maneno Insolvent na Bankruptcy. Pia kama ni mfanya biashara umewahi kusikia pia neno KUFILISIKA au KUFILISIWA au KUFILISI. Umewahi pia kusikia mali za kampuni zikipigwa mnada au kampuni kuwekwa chini ya...
Wahenga walikuwa na baadhi ya misemo yao ambayo ilikuwa na maana pana. Sina uhakika sana wa ninachokiandika na uhalisia wa kichwa cha habari, ila naziona dalili hizo.
Inafahamika kuwa mzee wa kasumba wiki kadhaa zilizopita alifukuzwa kazini kama mbwa na kuanza kutangatanga na njia, jambo ambalo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.