kufilisika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tony Atlas kutoka kuwa mcheza mieleka maarufu duniani na kufilisika hadi kukosa sehemu ya kulala

    Tony Atlas kutoka kuwa mcheza mieleka maarufu duniani na kufilisika hadi kukosa sehemu ya kulala, Jamaa alikua ni kati ya wacheza mieleka (wrestlers) wakubwa duniani na akatengeneza pesa nyingi ghafla ukaanza mgogoro kati yake na mke wake Joyce White aliyeishi nae miaka 24 na kupeana talaka...
  2. RC Chalamila, kuchanganya dini na siasa haikubaliki, ni kufilisika kisiasa

    Nimeona kwenye vyombo vya habari na kwenye mitandao, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam akiwasema waislamu wanao mkosoa HMh Rais, kuwa kwa uislamu wao wasifanye hivyo. Hapo naingia wasi wasi mkubwa kwa kiongozi wa juu kiserikali na kichama.
  3. Diamond Platinumz ampa milioni 10 Mzee Makosa, aliyekuwa tajiri mkubwa Iringa na kufilisika

    Staa wa muziki Bongo, Diamond Platinumz leo amekutana na Ramadhani Kasawa maarufu Kama 'Mzee Makosa' ambaye alitamani Kukutana nae baada ya kutazama interview yake kwenye mitandao ya Kijamii akielezea namna alivyofilisika kutoka kwenye Utajiri wakutupwa aliokua nao. Soma, Pia: Anaefahamu...
  4. M

    Unafanya nini ili usifilisike na usipotee kwenye ramani? Nafsi yangu inangia huzuni na hofu nikikutana na waliofilisika

    Moja ya jambo linalotisha kwenye maisha ni kufilisika, ulikuwa na mali zako kidogo zinakusogeza na zinakupatia chochote, una watu wamekuzunguka unawapa kazi na unawapatia chochote japo kidogo, then inatokea hiyo hali inakata, humiliki Cha maana, mission za mjini zimekata, huonekani aisee...
  5. M

    Unafanyeje ili usifilisike na usipotee kwenye ramani?

    Moja ya mambo yanayotisha sana katika maisha ni kufilisika. Ulikuwa na mali zako kidogo zilizokuwa zinakusaidia na kukupatia chochote, na ulikuwa na watu waliokuzunguka ambao uliwapa kazi na japo kidogo cha kuwasaidia. Kisha, ghafla hali inabadilika, na unakuta huna chochote cha maana. Mission...
  6. Chadema imemfanya Lissu kufilisika, enzi akifanya shughuli za uwakili, alikuwa ana mabilioni kwenye akaunti, sasa anatembeza bakuli

    Nadhani Chadema kuna tatizo, katika mawakili wa bei mbaya nchi nzima alikuwa Tundu Antipas Lissu, alikuwa bilionea. Tangu ajiunge Chadema, amefilisika kabisa, hana kitu, mpaka anaomba omba hela ya kununua gari. Atakuja kupata mjukuu aitwaye Majuto, na hapo bado ana nguvu, chadema watamtumia...
  7. Biashara Yangu Inataka Kufilisika

    Hello wadau, Baada ya kujaribu kuboresha huduma zetu na ku introduce mfumo mpya wa mauzo, wateja wamepungua maradufu, jambo linalohatarisha uhai wa biashara yetu. Nimeelezea kwa kuonyesha mfumo wetu wa zamani na mpya na plan niliyonayo kuihuisha biashara yangu katika video hapa chini. Naomba...
  8. Makonda aanza kukamata wakusanya madeni (auctioneers) wanaotumwa na mabenki

    Bila Benki Kuu na Wizara ya Fedha kuongilia kati, naona mgomo mkubwa unanukia Arusha au Nchi Nzima kutoka kwa mawakala wa mabenki na taasisi za fedha wanaokusanya madeni mara baada ya Makonda kuanza kuwakamata baada ya kutimiza majukumu yao. Hii itakuwa na athari kubwa kiuchumi kwa kuwa fedha...
  9. Fahamu kuhusu Kufilisika na Umaskini/Ufukara

    Habari za wakati huu; Ni matumaini yangu kwamba mnaendelea salama na jitihada zenu za kujenga uchumi binafsi na wa Taifa. Kwa heshima na taadhima kabisa nimeona leo nilete mjadala kuhusu Mtu aliyefilisika au kwa lugha ya mtaani Kufulia na Mtu Maskini/Fukara.Lengo la kuleta mjadala huu ni ili...
  10. Marekani yaelekea kufilisika kisa Vita ya Ukraine

    Haya wadau, White House warns it is running out of money to help Ukraine fight its war with Russia The White House has warned that the US is running out of time and money to help Ukraine fight its war with Russia. The White House budget director, Shalanda Young, issued the warning in a letter to...
  11. Hivi ndivyo nilivyofanya ili kuinuka baada ya kufilisika na kuanguka kabisa kiuchumi

    Wakuu kwa siku kadhaa nimesoma kwa umakini uzi unaouliza kilichotokea hadi baadhi yetu tukaanguka kimaisha. Mimi pia nilitoa maoni yangu na kuelezea kwa ufupi jinsi ilivyokuwa hadi nikaanguka. Sababu kuu ilikuwa kuendekeza mbususu. Lakini sikuelezea kiundani niliwezaje kusimama tena baada ya...
  12. R

    Dawa ya Umaskini, madeni, ukata, mifuko kutoboka, uhitaji, kufilisika hii hapa!

    INTRODUCTON. Leo naongea na wote wenye uhitaji wa pesa, Kila mpango wako kupata pesa umekwama, Naongea na wote wenye ukata wa pesa, walioajiriwa na Wana mishahara lakini wanadaiwa Kila Kona, mshahara hautoshi. Naongea na wenye biashara ndogo na za kati ambao wanafanya juhudi zote kujitoa...
  13. Tusipo badili aina ya uongozi Tanzania inaenda kufilisika na kuwa ombaomba {fallen empires}

    Ndugu zangu Huwa nakaa nakuwaza hivi kweli hii nchi sisi Watanzania ni yetu kweli au Kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia, kwani Kwa yanayoendelea ni kama vile nchi yetu inaongozwa na watu wasiokuwa na huruma hata kidogo. Kiongozi atakacho kiamua yeye hata kama akina baraka za Wananchi...
  14. D

    UWATA wamesambaratisha familia yetu

    Mnamo mwaka 2013 baba yangu alikutana na mchungaji mmoja huko Moshi na baba yangu akamueleza kiu yake ya kuwa karibu na Mungu kwani ujana wake hakuwa mtu wa kwenda kanisani. Mchungaji(jina limenitoka lakini ningemtaja) akamueleza habari za uwata na kwamba angemkutanisha na kiongozi wa dhehebu...
  15. A

    Naelekea kufilisika tena

    Habari wana jamvi JF Toka nimeanza kujitegemea nimekuwa na vipindi maisha yananyooka. Yani kila unalofanya jah analibless . Ukitupa wavu sokoni kazima uvune pesa za kutosha. Sasa huwa naenda weeee kisha badae hela zile zinarudi zilikotoka yaani biashara inakuwa ngumu, ni kutumia tuuu na wakati...
  16. Wenzetu mmewezaje kuvunja 'cycle' ya umasikini wa ukoo/familia?

    Kuna familia na Koo zipo hakuna aliyemaliza form 4 wote elimu iliwashinda. Kuna familia na Koo mmoja tu kafanikiwa kufika chuo na kumaliza ila kazi hana. Kuna familia na Koo ndio unakuta masikini wa kukufuru, mabinti wote wamezalia nyumbani, hakuna aliyeolewa na vijana nao wote wameleta wake zao...
  17. Changamoto ya Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) kufilisika haiwezi kutatuliwa kwa mipango ya Ummy Mwalimu

    Wanabodi, Katika kipindi hiki ambacho Shirika la Bima ya Afya Tanzania (NHIF) linafilisika, ni vyema kufahamu jitihada zinazo chukuliwa na serikali kuhakikisha kwamba watanzania walio jiunga na mfuko huu wanaelendea kupata huduma. Kwanza kabisa tujaribu kuangalia athari ya shirika hili...
  18. Umewahi kufilisika kwa sababu ya mapenzi?

    Miaka michache iliyopita nilipata kazi ya mkataba, nikawa nakunja milioni moja kwa mwezi, nikaona maisha si ndio haya. Bahati mbaya nikaangukia kwenye mikono ya watoto wa mjini, laki laki zilikuwa zinatoka kama vile njugu, mara ohoo nikasuke, mara nimeichoka hii Tecno nataka samsung, mara...
  19. Kampuni inakufaje? Insolvency and Bankruptcy

    Habari, Leo natka nilete mada ndogo ndani ya mada ndogo Katika media tumewahi kukutana na maneno Insolvent na Bankruptcy. Pia kama ni mfanya biashara umewahi kusikia pia neno KUFILISIKA au KUFILISIWA au KUFILISI. Umewahi pia kusikia mali za kampuni zikipigwa mnada au kampuni kuwekwa chini ya...
  20. Filisika tujue tabia ya mkeo

    Wahenga walikuwa na baadhi ya misemo yao ambayo ilikuwa na maana pana. Sina uhakika sana wa ninachokiandika na uhalisia wa kichwa cha habari, ila naziona dalili hizo. Inafahamika kuwa mzee wa kasumba wiki kadhaa zilizopita alifukuzwa kazini kama mbwa na kuanza kutangatanga na njia, jambo ambalo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…