Hata kulala naye kitanda kimoja tu, achilia mbali mambo ya kuchakatana, najisikia kama niko gerezani. Inanibidi nipige ulabu ili nimudu kulala hapo kitandani.
Appetite ya kuwa naye imekata kabisaaa. Nikimcheki alivyopauka, midevu imechachamaa utadhani yule mchezaji wa Simba ambaye huwa akifunga...