Nipende kusema tu," kila neno likutokalo mdomoni, jaribu kilitafakari kabla halijatoka, maana siku ya mwisho utalitokes hesabu"
Kulitolea hesabu, inamaanisha utalielezea ulikuwa una maana gani. Ndugu zangu,kuna Roho ya Mpinga Kristo Yesu,inatembea katika jamii na dunia ,kuweni waangalifu...