Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameagiza wakurugenzi wa halmashauri zote nchini kuhakikisha madarasa ya mpango wa elimu ya msingi kwa waliokosa (Memkwa) yanafufuliwa.
Majaliwa ameyasema hayo leo Jumatano Juni 9, 2021 wakati akizindua Kongamano la kimataifa la miaka 50 ya elimu ya watu...