https://youtu.be/-NdDsArLVlU?si=eH35yrxDVCmdL3QM
➡️Huyu mzee anayesemekana kuwa amefukuzwa uanachama CCM, ni wazi kuwa yuko so determined kuhakikisha kuwa mchakato wa kumpitisha Bi Samia Suluhu Hassan na Dr Emmanuel Nchimbi kuwa wagombea urais huko CCM unarudiwa kwa kufuata taratibu na katiba...
Ali Karume wakati wa uchaguzi uliosusiwa na CUF 2015 alimcheka marehemu Seif, na alimsema sana marehemu na hatimaye akawa waziri baada ya uchaguzi.
Hivi sasa Ali Karume kafukuzwa CCM wakati Peter Msigwa aliekuwa anawashambulia anakula kiyoyozi kizuri na neema nyingi.
Siasa siitaki tena.
Miaka ile ya 1980s nakumbuka wakati wazamiaji wakirudi walikuwa wakiitwa Mabaharia lakini Mzee Kambangwa alisema hawa siyo Mabaharia ila ni Makuli wa Melini
Sasa sisi Wabishi tulitaka Ufafanuzi zaidi ndio akasema hapo bandari kuna wabeba mizigo( kuli) ambao hulipwa daily kama vibarua kadhalika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.