Habari zenu wadau.
Katika kusaka mkate wa kila siku kuna fitna na roho mbaya tunafanyiana huku makazini zinazopelekea either kufukuzwa kazi mazima au kusimamishwa.
Mimi bana nilikua kwa jamaa flani kampuni ya wakenya,nimefanya nao kazi kama miaka minne hivi,jamaa angu mmoja akaja akanichoma...
Najua asilimia kubwa wakati tunasoma tulikuwa hatuwapendi walimu wa mathematics.
Tuingie kwenye story. Basi bwana mnamo mwaka 2007 mwezi wa kumi na mbili nikawa nimeenda kuchukua cheti pale shuleni kwetu! Private schools.
Kwa bahati ilikua wiki ya mwanzo ya ndio wanafunzi wamefunga kama...
Habari, naomba kujua cha kufanya
Baada ya kushinda rufaa tume ya utumishi na kuamuru kurudishwa kazini.
natakiwa kwenda ku report kazini au mpaka mwajiri anipe barua ya kurudi kazini.]
Habari zenu ndugu nimepata experience mpya sikujua kama kufukuzwa kazi Kuna uma kuliko maumivu ya mapenzi ni week Sasa tangu boss anifukuze ofisini kwake siwezi hata kula.
Ushauri wenu una hitajika nifanyaje niwe sawa na wale waliopitia Hali kama hii tupeni uzoefu wenu mlivuka vipi?
Asante
Makamu wa Rais wa Equatorial Guinea, Teodoro Obiang Nguema Mangue amesema Serikali ya Nchi hiyo itawatimua kazini Maafisa na Watumishi wote wa Umma ambao ni miongoni mwa Wanawake zaidi ya 400 waliorekodiwa wakifanya mapenzi na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kitaifa la Upelelezi wa Fedha (ANIF) la...
Baada ya kufukuzwa kazi Naibu Rais Mstaafu wa Kenya Rigathi Gachagua anapoteza stahiki zifuatazo ambazo alizistahili endapo angejiuzulu.
1. Pensheni ya kila mwezi Ksh. 720,000.
2. Malipo ya mkupuo Ksh 8.2m.
3. Posho ya mafuta Ksh. 108,0000(?).
4. Gari 2 (saloon cars).
5. Gari 4WD (1).
6...
Hawa vijana iwe chachu ya kuigwa kwa vijana wengine. Vijana Hawa wanaosemekana kufukuzwa wana kampuni yao ya CALIBRATIONS, TESTING pamoja na Automations watu tuliopo kwenye constructions industry tunawaona sana. Na bahati nzurii kampuni yao ipo accredited inaruhusiwa kufanya kazi nchi yeyote...
SEHEMU YOYOTE ÀMBAYO UNAWEZA KUFUKUZWA MUDA WOWOTE, USIWEKEZE ÑGUVU NYINGI HAPO. SEHEMU HIZÔ NI KAMA IFUATAVYO;
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kama Kichwa kinavyoeleza.
Sehemu yoyote na Mahali popote àmbapo Upo lakini unaweza kufukuzwa Muda wowote basi kiushauri sehemu hiyo usiweke Ñguvu...
Bila kupoteza wakati maana nina mengi ya kuwaza baada ya hili
Nilikuwa nikiona watu wanao timuliwa kazi ni wazembe na mara nyingine tukikaa vijiweni tunawazungumzia vibaya hawa mara kafukuzwa kazi sababu ya wizi mara alikuwa jeuri sana mambo mengi mabaya tunawazungumzia bila kujari upande wake...
Kocha Jose Mourinho (60) kwa sasa hana timu, rekodi zinaonesha amefukuzwa kazi mara 6 katika maisha yake ya Ukocha.
Uamuzi wa kumfukuza kazi umemfanya kukusanya jumla ya Pauni Milioni 80 (Tsh. Bilioni 255) kama fidia kutoka klabu mbalimbali.
Malipo ya Mourinho kwa kufukuzwa kazi
Chelsea –...
Habari ndugu,
Mimi ni mtumishi wa umma. Nimefukuzwa kazi na mwajiri wangu. Sikuafiki maamuzi kwakuwa nimeonewa nimekataa rufaa Tume.
Najitokeza kwemu kuomba kazi ili niweze kuendesha Familia na kulipa kodi ya nyumba maana napitia magumu, sina biashara yoyote na mtaji ndomana natafuta kazi...
Ni swala la muda muda tu , watu wengi wataachishwa kazi kwenye makampuni makubwa, kutokana na kukua kwa teknolojia.
Kuna robot anaye-trend huku mtandaoni , anaitwa ChatGPT. Huyu robot anauwezo wa kukujibu swali lolote kwa sekunde 1.
Tukija kwenye swala la customer care wetu, mko wengi sana na...
Sio mpenzi wa jf na hafagilii mitandao mitandao hii so hakuna noma.
Mwamba huyu alikutana na demu wa kishua yaan kishua haswa, mwana ni un employee kwa sasa, kama ujuavyo mjini maisha ni gharama na mapenzi ni gharama haswa, sasa hakujua kama huyu binti ni wakishua yaan mama baba tajiri ni zali...
Rais amekuwa akisafiri kwenda nchi za nje almost non stop tangu aingie madarakani kwa connection, mafanikio ya safari hizo kuanzia mapokezi, malengo n.k yalitegemea tu namna Waziri wa Mambo ya Nje alivyoyaandaa akiwa bega kwa bega na wenyeji wa nchi husika. Mapokezi mabovu na kuonekana kama...
Baada ya aliyekuwa Meneja wa Kanda wa Shirika la Reli Tanzania, Jonas Afumwisye, kuthibitisha kupokea barua ya kufutwa kazi, Rais wa Chama cha Wafanyakazi nchini amesema wanapinga hatua hiyo kwa kuwa alitimiza haki yake ya kutoa maoni.
Meneja huyo anadai, kusimamishwa kazi kutokana na kupinga...
Kesi ya Neema Akeyo vs- National Microfinance Bank- NMB
HOJA:-
HAKI YA KUABUDU SIKU YA SABATO
Kuachishwa kazi kutokana na utoro (siku ya Jumamosi kwa muumini mwadventista) na utovu wa nidhamu
Ubaguzi wa kutokana na dini/imani ya mtu
Tarehe 01/11/2010 Neema Akeyo aliajiriwa katika Benki ya...
Septemba 15 askari Polisi wa Tanzania waliingia Malawi kinyume cha sheria wakimfukuza bodaboda waliyedhani amebeba biashara ya magendo ambapo walipoingia Malawi walipigwa mawe na wamalawi na kuokolewa na Polisi wa Malawi
Askari 7 wa Kituo cha Polisi cha Wilaya ya Ileje mkoani Songwe wamefukuzwa...
Marekani imechanja zaidi ya 50% ya watu wake ambao wanastahili kuchanjwa lakini karibu watu milioni 100 wenye sifa ya kuchanja wamegoma kuchanja ama hawajachanja hadi sasa.
Kutokana na covid, makampuni mengi ama taasisi nyingi zinahimiza ama kulazimisha wafanyakazi wao kuchanjwa na mengine...
Kati ya vitu vinavyouma katika maisha ni kufukuzwa kazi, nakumbuka miaka kadhaa nyuma baada ya kumaliza degree yangu nikabahatika kupata kazi kwenye kitaasisi kimoja hivi.
Nikapiga kazi kwa kujituma sana aliekuwa boss wangu akawa ananichukia mno visa kila siku kikianza hiki kinakuja hiki nikawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.