kufukuzwa shule

No Wikipedia entry exists for this tag
  1.  Waziri Mkenda: Nafuatilia Shule ya Nkasi iliyofukuza Watoto kisa Wazazi wao ni CHADEMA Mkoani Rukwa

    Salaam Wakuu, Awali, ikidaiwa kwamba Mwalimu Mkuu (REGIUS MARTIN KAWIMBE Simu Namba *****75299) wa shule ya Msingi Izinga iliyopo kata ya Wampembe, Jimbo la Nkasi Kusini, Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi na Mkoa wa Rukwa, na ambaye pia alikuwa MSIMAMIZI MSAIDIZI wa uchaguzi katika kijiji cha...
  2. Waziri Gwajima, wanafunzi kufukuzwa shule sababu ya picha za utupu siyo suluhisho na haiwasaidii, wanatakiwa kupewa mwongozo na kuelewa athari zake

    Waziri Dkt. Gwajima D salam, Moja ya tukio kubwa wiki hii ni suala la wanafunzi zaidi 100 kukutwa na simu shuleni na baadhi yao kufukuzwa baada ya kupiga picha za utupu na picha hizo kusambaa. Katika kushughulika na suala hili busara inahitajika zaidi kuliko kukurupuka. Kwanza tuelewe hawa na...
  3. Adhabu ya kufukuzwa shule ibadilishwe

    Taifa linahitaji vijana wasomi na wenye elimu na maarifa ya kutosha, sasa inakuaje tena kunakuwa na adhabu ya kuwafukuza shule vijana hawa ambao ndio taifa la kesho pale wanapokutwa na makosa ya utovu wa nidhamu wakiwa shule wakitafuta elimu ambayo ndio mkombozi wao wa baadae? Unamfukuza shule...
  4. Serikali itoe tamko kuwa mwanafunzi akikutwa na simu anafukuzwa shule

    Shule nyingi za serikali zimekuwa zikifanya vibaya matokeo ya mitihani ya secondary.Moja ya sababu ni kiwango cha chini mno cha kupitiliza cha nidhamu ya wanafunzi shuleni na nje ya shule na tatizo la umiliki wa simu,radio na TV mabwenini. Mashule mengi serious ya private yanayofaulisha sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…