Mpira wa Tanzania ni mgumu sana, mpira wetu ni wa kikwetu kikwetu, wakati mwingine unapowaambia watu kuwa mpira wa Tanzania hauangalia uwezo wa makocha watu wanabisha, mfano mzuri moira unaochezwa na timu yangu ya Simba utasema kuna kocha mle?
Au gusa achie twende kwao kuna mpira pale? Mpira...
As salaam alaikhum ndugu Wana familia wa JamiForums
Katika maisha Kuna visa vingi hutokea na kila mwanadamu huwa ana kisa au stori ambayo katika maisha yake au mazingira anayo ishi humtokea
Siku hizi tumeona ukatili kisa fumanizi la mke wa mtu au mume wagoni wamekuwa wakifanyiwa ukatili...
Habarini za muda huu wadau!!
Kumekua na video kadhaa ziki postiwa mitandaoni zikionyesha baadhi ya watu (waume/wake) za watu wakiwa wamefumaniwa.
Je, ni kipi sahihi kifanyike endapo utamfumania mwenza wako?
Je, utajishughulisha na mwenzi wako au utajishughulisha na mgoni wako?
Salam salam ndugu, jamaa, washkaji na marafiki. Natoa salam hizi nikiwa sina akili zangu timamu kutokana na jambo nililoshuhudia siku chache nyuma.
Kama kichwa cha habari kinavyosema, mimi ni kijana wa miaka 30+ ila sijafika 35, nipo katikati apo.
Sasa kama mnavyojua ndugu zangu wiki hii...
Kwa uchache,
Fumanizi ni miongoni mwa matikio ya aibu na fedheha, ghadhabu, hasira na uchungu sana kwa wahusika.
Hamu ya tendo inawakata kabisa, nguvu zinawaishia, sauti zinawakatia hazitoki vizuri, maneno yanawaisha ya kusema.
Kiufupi wahusika wanakua kama wameparalyese hivi. Wanakua mabubu...
Kwanza kabisa nipende kuwapa pole wanajavi wote kwa changamoto ya corona na pole zaidi kwa waliopoteza ndugu zao.
Tuzidi kumwomba mwenyezi MUNGU na kuchukua tahadhari Inshallah tutavuka salama.
Leo napenda kuleta mrejesho wa thread yangu ya week kadhaa zilizopita niliyoiandika hapa hapa yenye...
Wanajukwaa,
Moja ya mambo yanayoweza kukuua ni hili la kufumania mpenzi au mkeo na hasa akiwa katikatikati ya sita kwa sita na jamaa mwingine. Mliowahi kufumania leteni uzoefu wenu na nini cha kufanya kuepuka mauaji au madhara mengine yanayoweza kutokea. Kitu gani hasa kinakuuma unapofumania au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.