Kwa uchache,
Fumanizi ni miongoni mwa matikio ya aibu na fedheha, ghadhabu, hasira na uchungu sana kwa wahusika.
Hamu ya tendo inawakata kabisa, nguvu zinawaishia, sauti zinawakatia hazitoki vizuri, maneno yanawaisha ya kusema.
Kiufupi wahusika wanakua kama wameparalyese hivi. Wanakua mabubu...