Habari wana jamvi,
Serikali ya Marekani kwa mara nyingine tena imetoa fursa kwa watanzania kwenda kufundisha lugha ya kiswahili nchini Marekani kwa kipindi cha mwaka mmoja, ukipata nafasi hii basi utaenda kufundisha katika chuo kikuu,
Hii ni njia nzuri kwa wale wanaopenda kutoka nje ya...
Wana JF,
Leo Tarehe 5/7/2023 asubuhi wakati nasikiliza BBC kupitia Radio Free Afr., nimeshangaa kusikia kwamba nchi moja wapo ya majirani zetu wameamua kufundisha lugha ya KISWAHILI katika primary schools zao.
Sasa, kilichokuja kunishangaza ni kusikia mwalimu shuleni akiwafundisha watoto...
Hii fursa ya kufundisha watu Kiswahili duniani na Afrika ni kwenu wa Tanzania ninyi ndo watu ambao mnaongea Kiswahili sanifu tofauti na Wakenya pamoja na sisi Wakongo.
Lakini kwenye makundi ya promote Kiswahili to the world na le swahili c'est la fierté de l'Afrique sijawahi kuona Watanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.