kufunga barabara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Maporomoko ya Udongo yafunga Barabara Kuu ya Mtwara, Lindi, Dar es Salaam kwa Saa Tano

    Mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Mtwara, zimesabisha maporomoko ya udogo, kufunga barabara Kuu ya Mtwara, Lindi, Dar es Salaam, katika eneo la Mikindani kwa zaidi ya saa tano na hivyo kuleta usumbufu kwa abiria na madereva. Soma Pia: Barabara Kuu ya Dar- Lindi imekatika sehemu 2 na kukata...
  2. Serikali itwae ardhi kubwa kigamboni iwe na hotel za kisasa na kumbi kubwa za mikutano, itasaidia kuondoa kero ya kufunga barabara

    Kigamboni ni eneo potential ambalo kama serikali ikiamua kutengeneza conference facility ya kimataifa, itaondoa kero ya kufanyia mikutano katikati ya jiji na kuathiri shughuli za kijamii. Kigamboni ni mini Zanzibar na I na utulivu mkubwa na beach safi
  3. Wananchi wafunga barabara Morogoro

    Wananchi wa Mayanga, kata ya Lubungo mpakani na kata ya Lukobe wamefunga barabara inayopita maeneo hayo leo tarehe 12 mwezi wa nane 2024 kuanzia saa mbili asubuhi. Hadi kufikia saa sita mchana hamna kiongozi aliyefika hali inayosababisha mkwamo wa vyombo mbalimbali vya usafiri.... Sababu ya...
  4. KERO Wanaofunga barabara ili kuabudu wako juu ya sheria?

    Wakuu habarini! Leo mchana nilikuwa Kariakoo, sasa kilichonishtua ni kuona mitaa mingi imefungwa watu wanaabudu barabarani. Mbaya zaidi hakuna ishara yeyote utaiona kwamba mtaa husiku umefungwa, mtu unatembea mpaka katikati ya mtaa then unakuta kamba, ukizunguka mtaa mwingine unakuta watu wako...
  5. D

    Makonda ni kada siyo mtumishi wa umma hastahili kusafishiwa njia na trafiki kwa kufunga barabara

    Habari wadau Inchi yetu haizingatii sheria na maumivu kwa wengine wanaotumia barabara! Makonda ni kada wa chama kama ilivyo vyama vingine vya siasa! Siyo mtumishi wa Umma! Nashangaa sana kuonekana akishurutisha watumishi wa umma kwa kuwahoji pamoja na trafiki kumsafishia njia! Hata kama...
  6. Mwamposa adaiwa kuwatumia Trafiki kufunga Barabara ili awahi safari zake, asababisha Foleni zaidi ya masaa 4

    Kuna malalamiko kutoka kwa wananchi kwamba Jeshi la Polisi Tanzania kitengo cha Usalama Barabarani wanafunga barabara kwa sababu ya Mwamposa hivyo kusababisha msongamano mkubwa wa magari. Hizi ni barabara za umma, kama mtu ana biashara yake anawahi na muhimu anunue Chopa sio kuleta usumbufu kwa...
  7. IGP, si sahihi kufunga barabara masaa 3 ili Makonda ahutubie barabarani

    Salaam, Ni kweli bila Polisi hakuna utii wa Sheria. Ila Kitendo cha Polisi kujipendekeza kwa Wanasiasa ili wasifiwe au wapewe vyeo vya kisiasa ni kuwaonea wananchi. Ni kweli Polisi wanapambania matumbo yao, ila hili la kuzuia wafanyabiasha na Wasafiri kuchelewa kufika kisa kiongozi wa...
  8. Makamu wa Rais Dkt. Mpango apiga marufuku Polisi kufunga Barabara kwenye Misafara

    Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mango akiwa ziarani Mwanza amesema hataki kusikia tena Barabara zikifungwa kwa masaa mengi ili apite, huku akisema dakika 10 zinatosha ili Wananchi waendelee na shughuli zao. Dr. Mpango amewaomba radhi Wananchi kwa usumbufu walioupata baada ya jana Barabara kufungwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…