kufunga biashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Tech Money: Siku ya leo ninalaza faida ya laki 5, wiki 2 zijazo nategemea kufunga biashara kwa faida milioni 3, kuna wabongo wanapenda sana games.

    Niliweka uzi huu jujwaa la biashara ila audience yake nilivyoiona ina mwamko mdogo wa mambo ya tech, nimeona niwaletee watu wa tech. Ni biashara ambayo huwa naifanya kipindi ambacho game ya mpira toleo jipya likitoka, silaha kuu ni kujitahidi kuwa mtu wa mwanzo kabisa kumiliki mali, inasaidia...
  2. D

    Mgomo wa Wafanyabiashara: Biashara zafungwa Kariakoo leo Juni 24, 2024

    Hadi Sasa ni saa 2:24 asubuhi maduka mengi hayajafunguliwa. Licha ya Mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila, kuwasisitiza Wafanyabiashara wa Kariakoo kuendelea na shughuli zao kama kawaida, hadi Saa 9 Asubuhi Wafanyabiashara wengi wamefunga Biashara zao katika Mitaa ya Kariakoo, leo Juni 24, 2024...
  3. Ivan Stepanov

    Sikuwahi kutegemea haya, hatimaye leo yamenikuta

    Wakuu habari ya muda huu. Sisi wengine kama ilivyo kwa wengi, hapa ndipo pa ku-share issues tunapohisi ku-release baadhi ya mambo yakituzidia. Mchana wangu umeharibika ghafla sana.😅 Kulingana na tides za kibiashara safari hii (ofcourse ni mambo ya kawaida tu), landlord wangu hatimae leo...
  4. N

    Mkurugenzi wa Moshi anafunga biashara zetu sababu ya kuchelewa kulipa kodi ya pango, hii ni sawa?

    Halmashauri ya Manispaa ya Moshi imekuwa na tabia ya kutufungia maduka na biashara za Wafanyabiashara wa Stendi Kuu ya Mabasi kinyume na maelekezo ya Serikali yaliyotolewaa Julai 1, Mwaka 2023 na Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba alipokuwa Bungeni. Mwigulu alisema ikiwa kuna changamoto za mlipo...
  5. Masokotz

    Siku nilipoamua kufunga biashara

    Ilikuwa April 2017, Niliamka Asubuhi nikiwa na mawazo mengi sana,Haikuwa mara ya kwanza mm kuamka asubuhi ila siku hii ilikuwa tofauti.Wawili kati ya watu niliokuwa nafanya nao kazi ambao walikuwa na uzoefu waliamua kuacha kazi na kwenda katika kampuni nyingine na nilibaki na timu ndogo ya watu...
  6. Introverted

    Nataka kufunga biashara yangu naomba ushauri

    Mimi ni kijana wa miaka 22 nimemaliza chuo mwaka huu nina degree ya kodi, baada ya kumaliza chuo kuna sehemu ya biashara nilipata ya mgahawa iko pwani. Wiki mbili za mwanzo biashara ilienda vizuri lakini baada ya hapo kila tukipika chakula kikawa kinabaki maana kwenye suala la wateja baada ya...
  7. Suley2019

    Dkt. Mwigulu: Kuanzia tarehe 1/07/2023 hakuna kufunga biashara kwa kigezo cha mtu kukiuka taratibu

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo June 15,2023 amewasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 Bungeni Jijini Dodoma ambapo moja ya mambo aliyoyapendekeza kwenye hotuba yake ni kwamba kuanzia July 01, 2023, iwe ni marufuku kwa Taasisi yoyote ya Serikali...
  8. Suley2019

    Mfanyabiashara Kariakoo: TRA wanatufuata nyumbani, wanatishia kufunga biashara zetu

    Mfanyabiashara huyo amesema, "TRA wanatufuata mpaka nyumbani jamani, tunaomba namba wakija ili tuwatumie picha, wanatutishia wanazuia Biashara zetu, kwanini watufuate nyumbani? Waziri Mkuu siwezi kukwambia kila kitu, hapa sio sehemu salama nipe namba nikufuate chemba, la sivyo nitahatarisha...
  9. Suley2019

    Kuna siri gani kwa watu kufunga biashara zao siku ya Jumanne?

    Salaam Wakuu, Ifikapo Jumanne kwa Dar es salaam imekuwa ni siku ya shida kupata huduma mbalimbali katika maeneo ya biashara. Maeneo kama Saloon, Baa na maduka ya bidhaa mbalimbali yanafungwa katika siku hii. Je, kuna siri au sababu yoyote kwa jambo hili? Anayefahamu naomba kuelimishwa.
  10. seedfarm

    Panya Road wavamia Bunju Magengeni, maduka yafungwa kwa kuhofia usalama

    Wakuu nimepata taarifa kuwa Bunju hali mbaya, Kuna Panya Road wanaharibu magari na kukata watu mapanga huko Bunju Magengeni Nasikia hali mbaya, Hofu imetanda sana, Nipo Mbezi Beach naelekea huko lakini hali ni tete sana Eneo la Magengeni hali ni mbaya sana kwa mujibu wa taarifa ---- ===...
Back
Top Bottom