Kwanza naamini katika uwepo wa mungu na Kila jumapili nashiriki misa takatifu ya pili katika kanisa katoriki la karibu yangu.
Pengine katika ukuaji wangu yawezekana nilikosa elimu juu ya ufungaji na faida zake. better late than never naomba elimu juu ya ufungaji na faida zake.
Yesu alisema ukifunga jiweke uso wako vizuri kwa mafuta ili mtu asijue unafunga. Ni dhahiri kwa mafundisho yake funga ya mkristo ni suala binafsi na ni siri ya anayefunga.
Vipi leo haya maredio ya makanisa yanatangaza mifungo kila uchwao mara mfungo wa siku ishirini na moja wa mwaka wa utawala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.