kufunga mwaka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Salam ya Mh.Raisi Samia kufunga mwaka 2024 haina chembe ya uwajibikaji wa serikali katika kupunguza ajali barabarani

    Matatizo ya ajali barabarani tunaweza kuyaondoa haraka endapo mamlaka za serikali zitachukua hatua leo. kama hatutabadili namna ya kufikiri itatuchukua miaka mingi sana kupunguza matatizo ya ajali Tanzania. Takwimu alizotoa rais wakati akifunga mwaka 2024 zinaonesha ajali zilizotokea ni 1735 na...
  2. S

    Nimeamua rasmi kufunga mwaka na kuachana na maamuzi mabaya niliyofanya ya kusoma bachelor of science in chemistry sasa nimeamua nisome bpharm

    Baada ya kipindi kirefu Cha kuwa njia panda nimeamua nifunge mwaka na kubadili kozi.
  3. Taarifa sherehe za kufunga mwaka 2024

    Napenda kuwajulisha kuwa, katika maandalizi ya kuukaribisha mwaka mpya, tarehe 31 nitachoma nyama ya mbuzi nyumbani pamoja na familia yetu. Pia kutakuwa na cocktails pamoja na vinywaji mbalimbali. Kama utakuwa free unaweza ukafanya hivi pia nyumbani kwako Ahsante
  4. L

    Dualis inauzwa hii ni offer ya kufunga mwaka

    Habarini Wana JF napenda kutoka offer ya kufunga mwaka Naitoa kwenu Dualis kwa 13.8Million Gari nzuri sana Piga 0695022051
  5. Mrejesho: Wazee wenzangu 60+ nimepata aibu ya kufunga mwaka

    Naam ni kuhusu yule Bi.mkubwa ambaye wengi mlinitia moyo kwamba nimvagae....walahi najuuuuta sijui kwa nini nilimtamani.....Kama nilivyowaeleza awali huyu tupo nae Kanisa moja.....na kule Kanisani maneno yamesha sambaa nadhani hata baba Mchungaji stori itakuwa ishamfikia Mambo si mambo kuna...
  6. U

    Uzi wa kukiri na kuombana msamaha kwa makosa mbalimbali ambayo tulitendeana tukielekea kufunga mwaka 2024

    Wadau hamjamboni nyote? Mimi binafsi kwa kuongozwa na roho wa Bwana naanza kwa kuwaomba radhi wote niliowakosea mwaka huu 2024 Niwatakie siku njema wapendwa wangu
  7. R

    Hongera Rais Samia kwa hotuba fupi inayotoa mwanga kuhusu maono ya serikali yako kwa mwaka, 2024

    Kwa mwaka 2024 kuna mambo ambayo serikali imejiwekea kuyafanyia kazi kwa lengo la kuboresha huduma lakini pia kukuza uchumi. Kujenga miundombinu ya elimu na afya ni lengo la kila mwananchi. Lakini pia kufungua njia ya uchumi kwa kuanza kutoa huduma kwa SGR 2024 sambamba na kudhibiti kukati kwa...
  8. Ni tabia gani umepanga/ulipanga kuiacha kufanya punde tu ukiuanza mwaka mpya? Vipi matokeo yake.

    Habari wakuu, herini wote kwa sikukuu za mwisho wa mwaka. Tukiwa kwenye siku ya mwisho ya mwaka 2023 ni jambo jema sana kumshukuru Mungu na kumuomba atuvushe salama wote tuuone na kuuanza mwaka mpya wa 2024. Kama ilivyo kawaida kwa miaka mingine iliyopita, baadhi yetu huweka maazimio ya...
  9. Ni tabia gani umepanga/ulipanga kuiacha kufanya punde tu ukiuanza mwaka mpya? Vipi matokeo yake.

    Habari wakuu, herini wote kwa sikukuu za mwisho wa mwaka. Tukiwa kwenye siku ya mwisho ya mwaka 2023 ni jambo jema sana kumshukuru Mungu na kumuomba atuvushe salama wote tuuone na kuuanza mwaka mpya wa 2024. Kama ilivyo kawaida kwa miaka mingine iliyopita, baadhi yetu huweka maazimio ya...
  10. Rais Samia kutoa Hotuba ya mwisho wa mwaka 2023 kwa Wananchi, saa 3:00 usiku

    Leo saa tatu usiku kutakuwa na hotuba ya Mh. Rais Samia. Hotuba ya kufunga mwaka
  11. Wasifu: Kabla ya kufunga mwaka Binadamu Mtakatifu

    No content
  12. Kikao cha wanaume cha kufunga mwaka

    Hiki ni kikao kitakachohusisha makundi yote ya wanaume hapa nchini isipokuwa wale walioleft. Hapa nazungumzia wanaume mabahili, wenye madeni madogo na makubwa, wenye michepuko, wenye watoto zaidi ya mmoja na kila mtoto na mama yake, wanaolaumiwa kuwaacha wapenzi wao na kuibuka na vifaa vipya na...
  13. Kufunga Mwaka 2021: Jamii Forums na kusanyiko la watoto takribani 600 wa dini mbalimbali

    Katika kufunga Mwaka 2021, Jamii Forums mnamo Desemba 30 ilidhamini kusanyiko la watoto takribani 600 wa dini mbalimbali waliokutana Magomeni jijini Dar na kula, kunywa na kucheza pamoja kwa furaha kuuaga mwaka 2021. Kusanyiko hili liliwezekana kwa kubuniwa na kuratibiwa na Padre Christian...
  14. Ajali za kufunga mwaka na kufungua mwaka uacha makovu makubwa ya moyo na nafsi kwa watoto.

    Niliwahi kushuhudia familia ikipoteza baba na mama kwa wakati mmoja katika ajali ya gari wakiwa wanatokea kula Krismasi na mwaka mpya, kijijini kwao, wakati huo watoto wao wa pekee (mapacha), walikuwa wamebaki shuleni (skuli ya wazazi na walezi wenye kipato cha kati) wakifanya maandalizi ya...
  15. Umejipangaje wewe na mpendwa wako katika hiki kipindi cha kufunga mwaka?

    Maeneo mengine duniani, kuanzia tarehe moja mwezi ujao wanakuwa wako mapumzikoni na wapenzi au wapendwa wao; kwa waliojipanga vizuri, wataenda hata nchi ya mbali akiwa na mwenzi wake au familia yake kuponda maisha kwenye mbuga za wanyama, milima, sehemu za utalii au vivutio mbalimbali n.k...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…