kufunga ndoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je, ni sahihi mkristo kufunga ndoa mwezi huu wa ramadhani?

    Je ni sahihi mkristo kufunga ndoa mwezi huu wa ramadhani? Maana miongoni mwa watu waliomchangia pesa ya harusi ni waislamu na waislamu muda huu wapo kipindi cha mfungo na hata baadhi ya wakristo nao wanawasindikiza waislamu katika ibada hii ya mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhani. Hivyo kufunga...
  2. N

    Tetesi: Wema Sepetu kufunga ndoa 2025 na kigogo wa serikalini

    Ee bhana eeh huu mwaka umeanza na mbio sana. Huu mwaka utaisha haraka maana si kwa raha hizi!! Ukiangalia mbele raha nyuma raha pembeni raha!! Ni raha juu ya raha!! Baada ya jux kufunga ndoa, na Hamisa nae anafunga ndoa tarehe 26 mwezi huu wa pili. Tetesi ambayo ni hoti ni kwamba, Wema Sepetu...
  3. Hamisa Mobetto na Aziz Ki kufunga ndoa, waweka wazi kwa kuweka post hii wote wawili

    Muigizaji Hamisa na mchezaji wa soka Aziz Ki kufunga ndoa mwaka huu, waweka wazi kwa kuweka post hii wote wawili ya video wakila bata Dubai, wakitumia hashtag #MissaKi2025. Hili linakuja wiki chache baada ya Mobetto kumtambulisha Aziz Ki, MVP wa msimu uliopita Ligi Kuu ya NBC. Soma, Pia...
  4. Kuchumbia kwa miaka au kufunga ndoa haraka: Njia gani inahakikisha ndoa imara?

    Katika zama hizi, kuna mijadala mingi kuhusu muda unaohitajika kabla ya watu wawili kuamua kufunga ndoa. Wengine wanaamini kwamba muda wa uchumba wa miaka kadhaa ni muhimu ili kufahamu tabia halisi za mwenza wako na kuona kama mnaweza kuishi pamoja kwa maisha ya ndoa. Lakini pia, kuna wale...
  5. Kwenye tukio la kigogo wa Equatorial Guinea nimeamini hiki kizazi sio cha kufunga ndoa

    Kuna muda ukweli usemwe. Ndoa sio tena swala valid kwa miaka hii. Kama issue ya malezi ya watoto ni bora kutafuta njia nyingine ila sio ndoa. Hebu fikiria wake za watu wanaliwa ofisini, beach, nk... wakiwa na furaha kabisa huku wakikubali kurekodiwa na kutoa ushirikiano wa hali ya juu kabisa...
  6. Haraka sana nahitaji Mwanamke wa kwenda nae Kufunga Ndoa ya 'Kibwerere' Mkoani Arusha

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema Serikali itagharamia shughuli zote za harusi, ikiwemo kulipia ukumbi mkoani hapo lengo likiwa ni kuvutia zaidi wageni na watalii kufika Arusha na kuwa chachu ya kukuza uchumi. Makonda amesema masharti ya ndoa hizo ni pamoja na kati ya wawili hao...
  7. Aliahidi kufunga ndoa na mzazi mwenzake ila kafunga ndoa na mtu mwingine

    Iko hivi! Huyu mwamba Ali kuwa na Mpenzi wake ambaye Mwanachuo. Mwamba ni alisha maliza chuo kitambo kwa anapiga zake kinanda kwenye moja ya church hapa Town. Mwaka wa pili mwanzoni Manzi akadaka ujauzito. Akajifungua mwaka watatu mwanzoni. Wakalea mpaka Manzi alipo hitimu chuo. Mwamba huduma...
  8. Hivi lengo hasa la kufunga NDOA ni nini?

    Habari za jumapili wanajamii forums Kwa muda sasa nimekuwa nikijiuliza hivi lengo kubwa la kufunga ndoa ni nini.Kinachonipelekea kujiuliza hayo maswali ni kutokana na kutoona tofauti kati ya waliofunga ndoa na wasiofunga ndoa.Ukiangalia kiundani wanandoa wengi wanachepuka balaa ni wazinzi wa...
  9. Kama una nia ya kufunga ndoa tafadhali usizae nje ya ndoa

    Kuzaa mtoto nje ya ndoa mara nyingine kunaweza kuleta changamoto na kero kadhaa kwenye familia hasa bara letu la Afrika. Baadhi ya mambo ambayo nimeona kwa watu ambao wamezaa au kuzalisha nje ya ndoa (watoto waliopatikana ujanani) ni; • Mambo ya Kihisia: Kuzaa mtoto nje ya ndoa kunaweza...
  10. Aghairi kufunga ndoa baada ya kugundua mke mtarajiwa alimtembelea Ex wake usiku kabla ya ndoa

    Sijajua imetokea nchi gani nafikiri kati ya Congo au West Africa kule. Afu Ex wake inasemekana alihudhuria kwenye ndoa. Nguo za zamani hazitupwi. Cha kushangaza mbona ex wake hakumchumbia😳😳😳. Mshikamawili moja umponyoka.
  11. M

    Kipi bora kati ya kuishi na mpenzi (bila ndoa) au kufunga ndoa?

    Kuna scenarios nyingi ambazo kwa mtu mwenye uelewa anaweza jiuliza bila ya kupata majibu. Mfano; 1. Unakuta mwanamke amezaa na mwanaume watoto 3 na wanaishi pamoja ila mwanamke analalamika kwamba bado hajaolewa na anatafuta mwanaume wa kumuoa. 2. Mwanamke anaishi na mwanaume kwa zaidi ya miaka...
  12. Kosa kubwa tunalolifanya kabla ya kufunga ndoa

    Nimejaribu kutafakari ni kwanini kasi ya kupeana talaka na migogoro ya kwenye ndoa imeongezeka mara dufu katika zama hizi kuliko kipindi chochote kile na nilichokibaini ni kwamba kuna mahali tunakosea. Ikumbukwe kuwa watu wanapoamua kuishi pamoja kama mke na mume au kufunga ndoa ni moja ya...
  13. Nina mwezi mmoja tu umebaki kabla ya kufunga ndoa. Ushauri wenu tafadhali

    Wakuu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi ni kijana mdogo niko kwenye early 20's. Nategemea kuoa kwa mara yangu ya kwanza na nimebakiza mwezi mmoja kabla ya kufunga ndoa. Je, nini nikifanye kipindi hiki nikiwa naelekea kuwa mwanamme kamili. Natanguliza Shukrani.
  14. Natarajia kufunga ndoa, nipe maneno ya hekima yatakayonisaidia

    Habari wakuu, Mimi ni ME, wiki chache zijazo natarajia kuingia katika ndoa, naomba wenye uzoefu na wanaofahamu mambo wanipe maneno ya hekima yatakayonisaidia kwenye maisha ya ndoa. Usiniambie kataa ndoa kwakua nimeshafanya maamuzi ya kuingia kwenye ndoa. Natanguliza shukran zangu za dhati.
  15. Mkeo, kabla ya kumuoa alikupendea nini mpaka kuwa tayari kuishi na wewe?

    Ule usiku wake wa kwanza kulala magetoni kwangu ulimchanganya sana Nilimvua mibaibui yake kisha kumfunga kanga nusu utupu, mtoto wa watu ni mwendo wa aibu mule ndani Nikawasha widi (cha Arusha), moshi wa kutosha ukafutuka chumba kizima. Nikafungulia bufa kisha nikaanza kuplay ngoma za Lucky...
  16. Je, mtu unaweza kufunga ndoa kanisani bila kusaini lile karatasi?

    Tunaambiwa kwamba kuendelea kuishi pamoja na kuzaa watoto bila kufunga ndoa kanisani ni uzinzi na kumchukiza Mungu. Sasa na mimi nauliza, naweza kwenda kanisani kufunga ndoa bila kusaini chochote? Yaani taratibu zoote za kanisa na mashahidi wawepo kushuhudia ndoa, ila sitaki kusaini chochote...
  17. Ikiwa haya yatafanyika, basi ndoa zitadumu

    Hey there, Inakuwaje wadau wa humu ndani... Hope mpo poa na kama kuna tatizo lolote yeyote alienalo basi maombi yangu kwake ni Mungu amfanyie wepesi. Twende kwenye mada. Marriage/Ndoa imekuwa ni big issue hasa humu kwenye platform ya JF, Huku kukiwa na makundi mawili (wanaounga mkono ndoa na...
  18. R

    Naomba kujua utaratibu wa kufunga ndoa ya serikalini kati ya Mtanzania na raia wa nje

    Habari wataalamu, Ndugu yangu wa like anataka kufunga ndoa ya kiserikali na raia wa nje. Huyo raia Kwa sasa anaishi nchini kwake ila anataka kuja Kwa muda mfupi wafunge ndoa halafu arudi kwao kuendelea na shughuli zake. Naomba kujuzwa utaratibu.
  19. M

    Waislamu wako vizuri kwenye suala la ndoa

    Habari za humu! Naukubali sana utaratibu wa wenzetu wa dini tofauti. Kwao unaweza kuoa na kuingiza mke kwa 200k au hata 100k. Niliwahi kuwa mshenga, kuna dogo alitoa 50k akachukua mke mapema sana maana ilikuwa kipindi cha Ramadhani mwendo wa maandazi tu harusi imeisha. Nimeishi Kusini yaani...
  20. Nimetunukiwa tunda na mtoto wa kizungu guest za Manzese

    Umewahi kumla mzungu? au wewe unahangaika na hayo akina mwajuma ndala ndefu au akina cheusiku wa ubongo riverside? Pole sasa nikuambie mie mwenzio nimemla mzungu jana kwenye guest za manzese sema yeye huyo mzungu hataki mambo mengi sana japo ni mfanyakazi mmoja wa shirika moja la kimataifa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…