kufunga ndoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Njooni tumpongeze Mohammed Hussein Zimbwe 'Tshabalala' kwa kufunga ndoa

    Nahodha msaidizi wa Simba, Mohamed Hussein "Tshabalala" jana siku ya Ijumaa amefunga ndoa. Hongera sana kepteni, niwatakie kila la heri kwenye ndoa yenu!
  2. Ni muhimu kufunga ndoa na mtu ambaye wazazi wa pande zote wameridhia

    Wakuu, Kuna kisa kimoja kimetokea mwanandoa mmoja(mwanamke) amejinyonga na kumuacha mtoto wa miezi 6. Amejinyonga kutokana na mateso aliyokuwa anayapata kutoka kwa mumewe kupigwa na kusalitiwa lakini sababu kubwa iliyomshindikiza kujinyonga ni kukosa pakwenda, wazazi wake mwanamke hawamtaki...
  3. C

    Napeleka Mahari Upareni - Maombi yenu

    Nimeamua kuoa binti wa kipare kutokea Kijiji Cha Masandare ( Same) hivi Leo tunaelekea huko kulipa mahari Kama sehemu ya mchakato. Maombi yenu, nimekamatika kwa binti huyu Veronica mtoto wa kipare. Japo mnene mauno Kama yote naenjoy kiukweli. UPDATE: Nilituma 2m Tsh kuandaa sherehe ndogo ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…