Mtangazaji wa kipindi cha Goodmoring cha Wasafi FM Gerald Hando ametaka au kushauri mtandao wa TikTok Tanzania ufungiwe akidai unaleta matatizo ya afya ya akili kwa vijana wengi zaidi.
Amesema vijana sasa wakilala wakiamka wanawaza wapata bando ili waingie TikTok wafanye mambo yao na akikosa...
Watumiaji wengi wa TikTok hawana maadili. Badala ya kumfungia mtu mmoja mmoja, ni afadhali wakafungia mtandao, hadi pale elimu itakapotolewa kuhusu matumizi ya mtandao huo.
Binafsi sina account ya mtandao lakini kwa video zinazotumwa kwenye mitandao mingine kutoka kwa watumiaji wake; inaonesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.