Rais wa Brazil Lula Da Silva ametishia kuyafungia makampuni yanayojihusisha na michezo ya kubahatisha kupitia michezo mbalimbali mitandaoni ili kuondoa janga la uraibu lililowakumba raia wake!
Hela ya chakula mtu anasukia mkeka!
Brazil mulls ban on sports betting
Brazilian President Lula da...
Tukianza na Kiboko ya Wachawi ufafanuzi wake ni kuwa Serikali haijakosea kufunga huduma bali mafundisho yake hayana staha
Kosa lake kubwa ni kutumia mgongo wa Shetani kwa lengo la kujipatia fedha badala ya kufundisha habari za Mungu
Kutumia mgongo wa Shetani kwa maana ya kuzungumzia machafu ya...
Serikali kweli IPO kazini Kwa kuchukua hatua ya haraka pale inapobainika mahali watu wanaenda isivyo. Kiboko ya wachawi amekuwa akimfanyia kazi ya Mungu kama kufanya uganga na ushirikina ufanyikavyo.
Pia soma: DOKEZO - Serikali chukueni hatua za haraka dhidi ya Nabii Dominiki "Kiboko ya...
Nimekuwa najiuliza sana lkn sipati majibu kwanini watu wanalalamika sana kusikia mtandao wa x utafungiwa nchini Tanzania, vyama vya siasa tayari vimeshaanza kutoa statements vikidai ni kuminya uhuru wa kutoa maoni. Uhuru gani wa kumtukana kiongozi wa nchi? Uhuru gani wa kuhamasisha violent...
Ninaandika ujumbe huu kupinga vikali wito wa kufungwa kwa mtandao wa X (zamani Twitter) unaotolewa na baadhi ya viongozi wa dini na Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM). Ninaamini kufungia mtandao huu sio suluhisho bora kwa changamoto za maadili tunazokabiliana nazo kama...
Wiki imeanza kwa raia wenzetu mbalimbali katika hii nchi kwenye nafasi za kisiasa za chama tawala na wale wa upande kidini kuitaka serikali ifungie mtandao wa Twitter/X
Pia itakumbukwa Starlink kampuni ya mtandao ya Elon Musk imeshindwa kupata kibali cha kufanya kazi Tanzania ikesemwa na Nape...
Huyu hapa ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , akiwa na Askari baada ya kumaliza Mkutano wa Hadhara kwenye Jimbo la Kilolo, Mkoani Iringa.
Toa maoni yako.
To cut short story huyu jamaa ni rafiki yangu wa tangu utotoni.
Mwaka 2012 nikiwa vizuri sana kiuchumi alipatwa na msiba wa baba yake mzazi. Yeye kwao ndio wa kwanza na ndio mtoto anae tegemewa na familia nzima. Kwao ni Dar ila msiba ulimkuta akiwa kaenda kufanya interview ya kazi Kigoma...
Pata kiwanja Fukayosi Bagamoyo kwa Cash Tsh 1500 kwa Sqm 1 na mkopo Tsh 2000 kwa Sqm
Muda wa mkopo ni miezi sita
Malipo ya awali 20%
Mfano ukichukua kiwanja chenye sqm 500 ukalipa kwa Cash bei yake ni Tsh 750,000/= tu ila ukichukua kwa Mkopo ni Tsh 1,000,000/= ambapo mwanzoni utalipa asilimia 20...
Habari Wananchi
Ifahamike kwamba Siyo jukumu la serikali kulazimisha kuuza!
Ewura kama mdhibiti mkuu anatakiwa afanye kazi kisomi siyo kikoloni!
Ifahamike Ewura hana shea yoyote kwenye mitaji ya wafanyabiashara ya mafuta:
Wakati mfanyabiashara anatafta mtaji huwa peke yake,
Anapotafta eneo...
Naibu Spika wa Bunge Thomas Tayebwa ameiomba serikali kuzuia tovuti zote za ngono ambazo alisema zinawaweka watoto kwa taarifa nyingi zisizofaa.
"Watoto wetu wanakabiliwa na katuni za unyanyasaji; vijana wetu wanakabiliwa na ponografia. Katika nchi za Kiislamu, ponografia imezuiwa. Niambie ni...
Salaam
Nimekaa nimefungua Diary yangu nimepitia pitia mara nikakutana na budget niliyoiandaa kwa mshahara wangu wa kwanza baada ya kuanza kazi. Nikagundua kumbe nilikuwa na utaratibu wa kuandika matumizi ya Kila mwezi na kiasi ninachokiacha kama akiba lakini nilikuja kuachana na utaratibu...
Waziri wa Mawasiliano, Nape Nnauye amesema amesikia uvumi ya kuwa serikali ina mpango wa kuzuia VPN, amesema suala hilo haliwezekani, wala serikali haina mpango huo
Hata hivyo, amesema mtu akikutwa amefanya kosa la kimtandao huku akitumia VPN atahukumiwa kwa makosa hayo. Kwasasa hakuna sheria...
Habari zenu wakuu, niko kanda ya ziwa huku kwenye mgodi x, kazi kubwa ninayofanya ni kununua mawe na kwenda kusaga mwaloni, kukamua na kuuza marudio.
Miongoni mwa changamoto kubwa zinawakabili wachimbaji wa mgodi niliopo, ni ufungaji wa maduara kwa kutumia matimba/miti.
Kitendo cha kufungia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.