1.Ulivunja Sheria mojawapo ya usiwaonyeshe walimwengu mafanikio yako lile saga la juzi kuwaita waandishi wa habari kuwa umemjengea mama nyumba usione watu wanakupenda fanya mambo yako kimya kimya walimwengu wivu mwingi
2.Kaa vizuri na baba yako mapema sana malizana nae yule mzee juzi aliongea...
Hili soka la hii nchi linashangaza sana. Kuna majinga yanaingia uwanjani na matokeo yaoo kisa mabosi wa Mpira wamewambia hakikisha hii timu inashinda.
Refa anafanya ujinga uwanjani. Anaicost timu mashabiki wanaumia wanateseka unaambiwa Refa kaaribu muwakanye unatishia kufungiaa watu hamtaki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.