Mimi ni kijana wa miaka 30 nina elimu ya diploma ya clinical medicine nilimaliza chuo miaka 4 iliyopita.naomba kufahamishwa hasa namna rahisi ya kumudu biashara tajwa hapo juu.
Siwezi kukaa mwenyewe kutokanq na majukumu yangu kwahiyo nimepangq nimuweke mtu kwa ajili ya kuuza.
Naomba...
Jamani wanaforums, nina mtaji wa kutosha kufungua duka la dawa (pharmacy)na nataka kusimama mwenyewe kwenye biashara yangu ila sina elimu ya afya na nina mpango wa kuanza chuo kwa ngazi ya diploma.
Sasa naomba mnisaidie ushauri je nikasome kozi ipi kati ya PHARMACY na CLINICAL MEDICINE kwa...
Habari ya muda huu wana jukwaa natumai mmeamka salama, sina mengi ya kuandika, ni kama kichwa cha habari kinavyosomeka.
Naombeni ushauri wakuu nina malengo ya kufungua duka la dawa Dar es salam, hivyo naombeni ushauri ni kiasi gani cha pesa nahitaji kuwa nayo ili niweze kufungua duka la dawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.