Club ni eneo la starehe linalokusanya watu mbalimbali kupata vinywaji na kuburudika na mziki, usiku kucha.
Watu mbalimbali; waajiriwa, wafanyabiashara n.k baada ya kupambana mchana kutwa, katika kujipatia kipato; hutumia muda wa jioni au usiku kwenda kuburudika na vinywaji au kucheza mziki...