kufuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tanzania yaamriwa kufuta adhabu ya kifo katika Sheria ya Kanuni ya Adhabu

    Mahakama ya Afrika ya Haki ya Binadamu na Watu Tanzania yaamriwa kufuta adhabu ya kifo katika Sheria ya Kanuni ya Adhabu, (Sura ya 16) ndani ya mwaka mmoja kutokea leo tarehe 5/2/2025. Maamuzi hayo yametolewa na Mahakama ya Haki za Binadamu na Watu, Arusha katika kesi ya Ladislaus Chalula dhidi...
  2. Msaada wa namna ya kufuta email zilizojaa

    Habari wana Jf naomba msaada namna gani ya kupunguza email kwa goggle account nimeambiwa zimejaa nimejaribu kudelete lakinj bado naletewa meseji ya kujaa na kupewa tahadhali yabkutopokea tena email kuanzia tarehe 1 mwezi wa 2 msaada please
  3. Kwa kuondoa aina hii ya uraia, wahamiaji huko Marekani wanalo!

    Trump kweli kaamua,ila ataweza?? Naona maana nyingine zimekaa kikatiba !Muda utaamua! Vipi ikija bongo?? Trump has vowed to end birthright citizenship. Can he do it? President Donald Trump has said he plans to end "birthright citizenship", which refers to automatic American citizenship...
  4. R

    Kama Innocent Bashungwa ni Waziri Mkuu ajaye, Majaliwa K. Majaliwa anaweza kuteuliwa Makamu Mwenyekiti Bara kufuta ndoto zake za Urais?

    Yapo mapendekezo ya kumteua Majaliwa K. Majaliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM bara. Ipo mipango yakumwandaa Innocent Bashungwa kuwa Waziri Mkuu ajaye endapo CCM itashinda uchaguzi 2025. Endapo Majaliwa akiwa Makamu Mwenyekiti Bara ndoto yake ya kugombea Urais itaendelea au itazimwa? Endapo...
  5. M

    Namna ya kufuta leseni yako ya ukandarasi wa umeme

    Wakuu naomba msaada namna ya kufuta leseni ya ukandarasi wa uneme isiwepo kabisa. Ni leseni ndogo ya fundi wa kawaida wa wiring.
  6. Mwanangu anapenda kuwa Askari polisi namsaidiaje kufuta fikra hizo?

    Yuko primary, ameniambia zaidi ya mara 5 kuwa anatamani sana kuwa askari polisi, ikifika jioni jioni anaanza kupiga kwata kuzunguka nyumba na kupiga saluti. Akikutana na wenzake anataka wacheze kipolisi yeye awe askari polisi, siku nyingine anaigiza kuongoza magari na kuongoza wanafunzi kuvuka...
  7. SI KWELI Iwapo tunda la nyanya linaonesha dalili kama hizi, linaweza kuwa na sumu kwa kung'atwa na nyoka

    Katika pita pita zangu, nimekutana na maada inayosema kwamba matunda kama nyanya yanaweza kushambuliwa na popo, au nyoka. Hivyo basi Ukiona nyanya ikiwa hivi(pichani) usipende kula mbichi au kuitumia kabisa kwa sababu Kuna wakati inakuwa imezuliwa na Nyoka, Popo au aina ya wanyama fulani...
  8. Hivi kwanini "miungu" mingi iliyojiteokeza huwa inajaribu kufuta Wayahudi, walikosea wapi

    Ukisoma Biblia, kuna miungu mingi ilijitokeza akina Baal/Hadad/dagon, wote hawa nia yao siku zote ilikua kufuta Wayahudi, historia yote imejaa aina ya miungu yenye chuki na hasira dhidi ya Wayahudi, japo siku zote hawa Wayahudi huibuka washindi ila bado kila 'mungu' anayejitokeza huwa hasomi...
  9. Yaani uweke Kambi yako eneo ambalo analijua na kila Siku anakuumizia hapo hapo halafu leo ujitutumue Kumfunga na Kufuta Uteja? Wadanganyeni Wehu wenu

    Mimi ninachojua tu ni kwamba leo ndiyo tunaenda Kuachwa rasmi kwa Alama Nne (4) na Wao kuwa Mabingwa tena.
  10. Nishati Safi ya Kupikia, Pongezi TotalEnergies Kuongoza Njia, Wengine Wafuate. Rais Samia, Serikali Yako Itie Mkono Kufuta Kodi Zote na Kutoa Ruzuku

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Npashe la leo. Kwa wengi wa waliozaliwa mijini, hawaijui adha ya kupika kwa kuni mamilioni ya akina mama, wanawake, mabibi zetu, mashangazi zetu, wake zetu, watoto wetu, wapenzi wetu, au kwa kifupi wanawake wa Tanzania, wanaoteseka kwa kupikia...
  11. Rasmi nimeamua kufuta Twitter(X), Instagram, Facebook, TikTok kwenye simu yangu

    Kama kichwa Cha habari kinavyoeleza ,sasa ni Rasmi mimi zero Iq nimeamua kufuta Twitter(X),Instagram,tik tok pamoja na facebook kwenye simu na kuamua kubaki na Jamii Forum kama ndio Main social network kwangu , Mitandao hiyo mingine naona sasa wanacheza na hela yangu ,Kila upande Kuna Reals za...
  12. Msaada nashindwa kufuta account ya Facebook

    morning lovely 😍 naombeni mnisaidie nataka kufuta account ya Facebook nilijiunga kipindi bado mdogo sasa inanikwaza nataka kufuta nimeacha kutumia na miaka sasa lakini notification zinakuja hii kitu inanikwaza just help me please 🙏 😢
  13. Natafuta Fundi mwenye uwezo wa kufuta DPF kwenye Mazda

    Habari wana JamiiForums. Nimejipiga piga hapa nikajikung'uta kila kitu nikanunua Mazda CX5 sasa nilikuwa naomba mwenye kujua garage nzuri yenye mafundi wa Mazda
  14. Baada ya Kufuta “Law School” Mawakili wasomi na walio bora watapatikanaje?

    Sote tu Mashuhuda wazuri wa baadhi ya habari zinazotangazwa katika Vyombo vya habari na Mitandao ya Kijamii kuhusu Kesi zinazoendelea, ambapo kuna baadhi ya kesi nyingi hushtakiwa nazo watu pasipo hata wao kutenda makosa hayo. Lakini Baadhi ya Mawakili wanaojua Vizuri Sheria na waliopita...
  15. I

    Kumbe tunalishwa matango pori kuhusu mahakama kufuta amri ya Waziri kufuta vijiji Ngorongoro

    https://x.com/Advocate_Jebra/status/1826832748960530808?t=Ns0xeXSyf8gz8naajp4k6Q&s=09
  16. Mwabukusi: Waziri hana Mamlaka ya kufuta Kijiji na asili ya Watu wa Ngorongoro

    Rais wa Tanganyika Law Society (TLS) Boniface Mwabukusi, amesema Waziri hana Mamlaka ya Kufuta Vijiji vya Ngorongoro Ameyasema hayo leo 20/08/2024 Mkoani Dar Es Salaam alipokuwa anaongea na Waandishi wa habari. Amesema kama TLS wanaaangalia cha kufanya. "Wale wananchi wa Ngorongoro hawapaswi...
  17. R

    Hivi Serikali ililenga nini kufuta bima ya AFYA ya watoto chini ya miaka 5?

    Salaam, Shalom!! Huwa ninajiuliza juu ya vipaumbele vya Serikali ya Awamu hii nashindwa kuelewa, hivi bima ya watoto chini ya umri wa miaka 5 kufutwa, lengo Hasa ni nini? Matibabu ya watoto chini ya umri wa miaka 5 yaligharimiwa na Serikali Kwa Kodi zetu, sasa Badala ya kufuta ununuzi wa v8...
  18. Msaada, namna ya kufuta course ajira portal

    Naomba kujuzwa namna ya kufuta course ambayo nimesave kwenye mfumo wa ajira portal. Nimeweka level ya education ni diploma na nimesave but nikijaribu kufuta inakataa, lengo niombe kazi kwa kutumia level ya certificate na siyo Diploma. Naomba mnisaidie kama kuna namna ya kufuta.
  19. Vilabu vya Ligi Kuu Uingereza kupiga Kura ya kufuta matumizi ya VAR

    Klabu zinazoshiriki Ligi Kuu zimeombwa kuunga mkono hoja iliyowasilishwa na Klabu ya Wolverhampton Wanderers inayopendekeza azimio la kupiga Kura ya kufuta Matumizi ya 'VAR' kuanzia Msimu ujao Pendekezo hilo ambalo linadaiwa kupingwa na Bodi ya Ligi Kuu linatarajiwa kusikilizwa Juni 6, 2024...
  20. B

    Fatma Karume: Tatizo Watanganyika hawajitambui utaifa wao, sisi Zanzibar hatuwezi kufuta utaifa wetu

    Wakili msomi Fatma Karume anasema kuwa viongozi waTanganyika ndiyo tatizo. Viongozi wa Zanzibar na wananchi wa Zanzibar wanajitambulisha kama wazanzibari katika muungano wa nchi mbili kisha inafuata uTanzania. Lakini viongozi wa kutoka upande wa bara hasa hawa wa CCM na serikali yake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…