Wakuu
Jana Rais Samia kutoa milioni 700 kwa Taifa Stars baada ya kufuzu AFCON 2025 kama pongezi kwa kuliheshimisha taifa kufuzi mara ya nne katika fainali hizo. Je, zawadi hii inawahusu wachezaji waliocheza mechi za mwisho dhidi ya Ethiopia na Guinea pekee, au inajumuisha wachezaji wote...
Wakuu,
Kama lilivyotolewa gari kule Arusha kwa sheikh 'akafanyie shughuli zake', sasa ni zimetoka kwa stars, sasa hivi kura zinanunuliwa kwa hela tu, hakuna purukushani za kukamatwa wakikimbia na mabox!
Pia soma: Siasa kuingia kwenye michezo na wanamichezo kutumika kisiasa hatujali kuibomoa...
Mpira ni biashara
Timu letu Bado ni bovu
Stars umeenda Afcon mara mbili mfululizo ila haijawahi kushinda wala kutoa sare
Timu letu kila likienda linapigwa na kututia aibu. Me Mtanganyika ila sitaki timu letu lifuzu
Yaani tumeikosa Ghana, tena tuikose Guinea, iyo Afcon itakuwa kama ndondo cup...
Nyota wa Klabu ya Simba, Joshua Mutale, hatoshiriki kwenye mechi za kufuzu michuano ya AFCON 2025 ambazo Zambia itacheza kwenye tarehe za FIFA, Novemba 15 na 19.
Mutale, aliumia katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya KMC na alijumuishwa kwenye kikosi cha Chipolopolo, lakini taarifa zinathibitisha...
Shirikisho la Soka la Lipya (LFF) limekosoa kitendo cha Nigeria kugomea kucheza mchezo dhidi ya Taifa hilo katika Kuwania Kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika 2025 uliopangwa kuchezwa Jijini Benghazi, jana Oktoba 15, 2024.
Taarifa ya LFF imesema wanalaani kitendo cha Shirikisho0 la Soka la Nigeria...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Michezo, Gerson Msigwa amesema Serikali iko tayari kufanya kila linalohitajika ili kuwezesha Taifa Stars kufuzu michuano ya AFCON 2025.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Michezo, Gerson Msigwa ameomba Watanzania kutoikatia tamaa timu ya Taifa (Taifa Stars) kwenye michezo...
Timu ya Taifa ya Nigeria “Super Eagles” imesema haitacheza mchezo wake dhidi ya Libya kuwania, leo Jumanne Oktoba 15, 2024 baada ya msafara wa Wachezaji wao kutelekezwa Uwanja wa Ndege usiku mzima
Timu hiyo ilitarajiwa kutua Jijini Benghazi jana Oktoba 14, 2024 lakini ndege ikabadili ratiba na...
Hawa Botswana wamekubuhu kwenye mbinu za nje ya uwanja, wanakufunga kwako kama umesinzia vile. Sijui wameimport product ya wapi inayowabeba kiasi hiki siku hizi.
Jwaneng Galaxy alimpiga Wydad kwake, waarabu wakabaki wameduwaa wakawashutumu kwa kuroga. Leo Botswana imempiga Cape Verde huko huko...
Alhamis ya leo Oktoba 10, Taifa Stars itakuwa dimba la ugenini ikicheza na DRC, mchezo wa kuwania kufuzu fainali za AFCON 2025 nchini Morocco. Mchezo huu utachezwa kuanzia saa 1:00 usiku
Pia soma ~ Samatta arejeshwa katika kikosi cha Taifa Stars kitakachocheza mechi ya kufuzu AFCON 2025 vs DR...
Kikosi cha Timu ya Taifa "Taifa Stars" kitakachoingia kambini kujiandaa na michezo miwili ya kufuzu AFCON 2025 vs DR Congo Oktoba 10, 2024 na Oktoba 15, 2024.
Pia soma:
~ Samatta, Msuva watupwa nje kikosi cha Taifa Stars kufuzu afcon 2025
~ DR Congo 0 - 0 Tanzania | Qualification AFCON 2025 |...
UCHAMBUZI WA Comrade Ally Maftah PACOME WA MCHONGO) Tanzania VS Guinea.
Katika viwango vya FIFA vinaonyesha Guinea ipo katika nafasi ya 77 na Tanzania tukiwa nafasi ya 113.
Mechi hii imechezewa Ivory Coast ikiwa Guinea ndio wenyeji wa mchezo huo, kwa sababu Guinea hawana kiwanja kinachokidhi...
Taifa Stars leo inashuka dimbani kutupa karata yake ya pili leo jumanne saa moja jioni kuwania tiketi ya kufuzu michuano ya AFCON 2025 dhidi ya Guinea baada ya kutoka sare na Ethiopia nyumbani.
Dakika,11 milango bado ni migumu kwa timu zote hadi sasa. Licha timu zote mbili zikioneka...
Kichwa cha habari kinajieleza, team ni ball papwatu papara papatu. Mbele haichezi katikati hainyumbuliki nyuma inqyumba na pembeni haijai.
Yaani bora liende na kubaki kubahatisha tu magori na mashambulizi ya alhamudulilahi,
Wachezaji wanaitwa kwa kuona leo kafanya nini ila hakuna consistence...
Mshambuliaji kinda mzoefu wa miaka 20, Clement Mzize, ameonekana kuwa hatari katika kikosi cha Yanga, akionyesha kiwango bora katika mechi za kirafiki na mashindano.
Sifa zake za uchezaji zimemfanya kuwa mchezaji wa kutegemewa, na sasa matumaini ya Tanzania kufuzu Michuano ya Mataifa ya Afrika...
Hii umeona wapi!? Kocha wa taifa. Ana kuwa pia kocha wa team ya league at the Same time.
TFF watoe majibu?
Pichani ni makocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Hemed Suleiman ‘Morocco’ na Juma Mgunda walipokuwa mazoezini leo katika dimba la KMC, Mwenge.
Makocha hao wanaiongoza Stars...
I will be short.
when did Fei toto ever help taifa stars in anything??
Kwenye mechi yeye ndo mzingo wa timu. hana analofanya anazunguka tu kwenye mechi then anatolewa.
Morocco anaona nini kwa Fei toto?
Mechi kibao hana hata assist timu ya Taifa. then kila list yupo ila kiwango Hana. ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.