kugeuzia ngua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    Kwenye mazingira gani uliwahi kujikuta umevaa nguo yako nje ndani na ndani nje?

    Ni mavazi gani hasa umewahi kosea kuyavaa inavyostahili, sio kwa makusudi, ila labda kwasababu ya haraka, kujisahau au giza wakati wa kuvaa, na matokeo yake wakati wa kuvua ndio unagundua ulivaa kinyume na inavyoakiwa... Au baada ya kufika eneo husika ndio ukastuliwa na ndugu, jamaa au marafiki...
Back
Top Bottom