kugoma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Simba walienda uwanjani kutafuta sababu ya kugoma kucheza, waadhibiwe tu

    Baada ya kukikagua kikosi chao na kile cha Yanga, Simba walijua kuwa hawako tayari kucheza derby na kufungwa tena na yanga kwa mara ya 5 mtawalia, ila hawakujua wataanza vipi kuacha kupeleka timu uwanjani siku ya mechi. Baada ya kutafakari sana wao wenyewe na kuwasiliana na baadhi ya wajumbe...
  2. Haya chukueni hii ikiwa bado mbichi na mbaki nayo, kwani kwa aina ya Mgeni Rasmi aliyeandaliwa kwa Mchezo ujao hakuna wa Kuthubutu Kugoma / Kumgomea

    Si wanajifanya wote Watoto wa Mjini sana na kutaka kuipelekesha TFF sasa Mchezo wao ujao Mgeni rasmi ni Rais Samia.
  3. Udongo huu ni sababu ya watu wengi kugoma kuhama Dar es salaam.

    Sababu zipo nyingi ila huu udongo una percentage zake kuwafanya wadau wagome kurudi kwao wengine kugoma kabisa kwenda kwenye vituo vya kazi walivyopangiwa Kuna dada zetu ni heri ndoa ivunjike kuliko kumpeleka kuishi kwenye udongo wa design hiyo.
  4. M

    Kitendo cha Wananchi kugoma kuhama katika chanzo cha maji Bonde la Mto Ruhila na kuwafukuza Mgambo kwa Mapanga si dalili nzuri

    Bonde la Mto Ruhila ambalo Serikali limeweka alama zao kama hifadhi ya mto, wananchi wanaendelea kutumia bonde hilo kwa shughuli za kibinadamu kama vile kilimo, kufua na kuoga hata baada ya kulipwa fidia. Kuna sababu mbalimbali walizozitoa kwanini wanaendelea kutumia maeneo hayo kwa matumizi...
  5. YouTube videos kugoma kupakua.

    Hello guys, Leo nimepita pita kwenye YouTube nikajaribu ku-download video kutumia third-party apps bila mafanikio nimekua nikitumia app kama vmate, freemaker nk ila kwa Leo zimenigomea. Kama Kuna mtu anaweza nipa ujanja wakupakua videos huku YT anisaidie. Natanguliza shukran
  6. Video: Vurugu zazuka Kinondoni baada ya raia kugoma mwenzao kuchukuliwa na Polisi wakihofia Polisi huyo kuwa mtekaji

    Wakuu, Huko Kinondoni kumetokea zogo na vurugu mtaani baada ya raia kugoma mwenzao kuondoka na mtu aliyejitambulisha kama afisa wa Jeshi La Polisi Ukonga. Katika video hiyo, mwanaume mmoja alijitambulisha kama Polisi alikuwa akitaka kumchukua kijana mmoja kinyemela. Wananchi baada ya kuona...
  7. Hivi ile ya mwili wa marehemu kugoma kuzikwa mahala fulani huwa imekakaaje? Huwa kuna energy fulani au ni mazinga ombwe tu?

    https://youtu.be/KyKBrBjCuf4?si=riIJh0YWtQ-9mt8o
  8. B

    Enzi za Hayati Magufuli Wafanyabiashara wasingejaribu kugoma. Imekuwaje leo?

    Enzi za uhai wake angesema.....Hiiiiii! Maweee! Yaani enzi za Jembe unajaribu kutingisha Sharubu za Mfalme? Ungejuta. Wafanya biashara waache dharau wao sio muhimu sana kuzidi makundi mengine ya wananchi. Lazima wakubali kufata sheria za nchi na walipe kodi kama ambavyo wengine anafanya...
  9. Maiti kugoma kuzikwa mpaka mahari itolewe

    Kama mtembezi wa mtaani nimeshuhudia jambo ambalo limenishangaza na kunistaajabisha kwa wakati mmoja na hii ni mara ya mbili kuliona hapa vingunguti je ni jambo gani? Kaa chonjo. Ni hivi ndugu wa mke au mume kuforce kufunga ndoa na maiti Ilikuwa juzi wakati nahangaika na shughuli zangu za...
  10. Mwenyekiti wa Wafanyabishara Kariakoo: Tunataka kugoma kwa Sababu ya TRA haitaki kutuelewa

    Mwenyekiti wa Wafanyabishara Kariakoo anasema chanzo cha mgomo wao ni TRA kurudisha enforcement. Malalamiko yao makubwa ni kwamba TRA inawaonea kwa sababu inawadai VAT na waziri mkuu aliagiza TRA iwasikilize. Nachokiona ni kwamba wafanyabishara hawataki kabisa kulipa kodi nchi hii. Hii nchi...
  11. Mgogoro wa Kidiplomasia wasababisha Timu ya RS Berkane kugoma kucheza dhidi ya USM Alger

    Mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho (CAF Confederation Cup) kati ya USM Alger ya Algeria dhidi ya RS Berkane ya Morocco umeshindikana kufanyika baada ya wageni RS Berkane kuzikataa jezi walizozikuta kwenye vyumba vya uwanjani wakidai sio zao. Awali, RS Berkane walidai jezi zao...
  12. DOKEZO Kilimanjaro: Madereva wa mabasi na Costa watishia kugoma kutokana na ubovu wa Stendi ya Bomang'ombe

    Madereva wa mabasi ya mikoani pamoja na Costa hasa zile zinazofanya safari zake Moshi - Arusha wametishia kugoma kwa kile kinachodaiwa ni miundombinu mibovu iliyopo Stendi ya Bomang'ombe hasa barabara. Barabara ya eneo hili lililopo Hai Wilayani Kilimanjaro limetawaliwa na mashimo mengi na...
  13. Serikali imewakosea nini walimu wa Tanzania kugoma kuwalipa Fedha za likizo ya malipo Disemba 2023

    Tukiwa tunaelekea kwenda kumaliza mwaka wa fedha wa 2023/24 .Walimu wa Tanzania shule za msingi na Sekondari hawajalipwa fedha za Likizo ya mwezi DISEMBA 2023 imekua ni kuwaida serikali kuwalipa walimu fedha za likizo kwa namna inavyojisikia sio kwa mujibu wa sheria ,kanuni na taratibu.. Imekua...
  14. Tetesi: Wafanyakazi Shule Maarufu Tabata- Dar es Salaam Kugoma Muda Wowote

    Hizi ni tetesi zilifika hivi punde kwamba wafanyakazi katika shule maarufu huko Tabata Dar es Salaam kugoma muda wowote kuanzia sasa hali inayotishia kuhatarisha zoezi linaloendlea la mitihani ya kitaifa wakitaka kuushinikiza Ungozi wa shule na menejiment kusikiliza kero zao za muda mrefu ambazo...
  15. Kenya: Baadhi ya maduka yaanza kugoma Wateja kulipa kwa ‘Lipa na Mpesa’

    Baadhi ya maduka yameanza kukataa huduma ya malipo kwa njia ya simu ‘Lipa na Mpesa’ wakikwepa ada ya juu ya kuwezesha ununuzi. Matangazo yamebandikwa madukani yakizuia Wateja kulipia huduma kwa njia ya simu yakitaja sababu ni ongezeko la gharama ya muamala kati ya simu na benki. Wateja sasa...
  16. Bolt Kenya yazuiwa kuhuisha Leseni baada ya Madereva kugoma

    Mamlaka ya Taifa ya Uchukuzi na Usalama (NTSA) imechukua hatua hiyo dhdi ya kamouni ya 'Bolt' kutokana na madai ya Ukiukwaji wa Kanuni za Leseni, ikiwa ni pamoja na Malipo Yasiyostahili kwa Madereva pamoja na Ada za Uitishaji wa Huduma. Pia, NTSA imesema Bolt ameshutumiwa kukiuka Kanuni za...
  17. Kila mfanyakazi anayo haki ya kugoma. Hata hivyo, sio kila mgomo unatambuliwa na Sheria

    Mgomo ni usimamishaji wa kazi, unaofanywa na Wafanyakazi kwa lengo la kumlazimisha au kumshurutisha Mwajiri wao au Mwajiri mwingine au Jumuiya ya Waajiri ambayo Mwajiri wao ni mwanachama, kukubali madai ya Wafanyakazi, au Mwajiri kubadili au kuacha madai yake dhidi ya Wafanyakazi, madai ambayo...
  18. Je, upi utaratibu mzuri wa kugoma nchi nzima?

    Shida, dhiki, taabu, majuto, huzuni, hasira, kudhulumiwa, kuuzwa, kutukanwa, kupuuzwa, kutothaminiwa, kudharauliwa, kutosikilizwa, kusalitiwai, kutishwa, kudanganywa, kudhihakiwa, kukejeliwa, kukebehiwa, n.k.
  19. Mgomo wa wafanyabiashara Kariakoo umewafumbua macho Watanzania. Mnatakiwa kugoma kwa uonevu wa CCM unaoendelea sasa

    Wafanyakazi mnateseka sana isee. Mshahara ukitoka tu tar 23 baada ya wiki mnahaha kukopa madukani na kwenye baa. Mnatakiwa kupinga kodi na tozo za hovyo kwa kugoma ili serikali iwasikilizie kama wafanyabiashara wa kariakoo. Wafanyabiashara nyie ndio mnaumia kila siku. Tozo na kodi kibao. Mbaya...
  20. Riba ya zaidi ya bilioni 400 inatokana na Hayati Magufuli kugoma kuwalipa makandarasi kwa takriban miaka mitano

    Hii wanaijua vizuri wakandarasi na watoa huduma serikalini. JPM aligoma kuwalipa kwa kisingizio Cha uhakiki, kwa miaka mitano alivyokuwa madarakani hakuwalipa, watu wakafilisika, benki zikauza Mali zao. Sisi tukawa tunashangilia na kumpamba kwamba ni mzalendo hatujawahi kupata. Uzalendo wake na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…