Wakuuw
Wakuu huko mjini Facebook nimekutana na hii taarifa ya MillardAyo na Wasafi kuwa Sugu ametangaza rasmi kugombea ubunge Mbeya mjini na anaonekana Sugu mwenyewe amepost huko X, Je, ni kweli wakuu?
Hali hiyo imetokana na chama hicho kujikita zaidi kutafuta pesa za matumizi ya viongozi wakuu wa chama hicho kwa mgongo wa matumizi ya chama na kuhamasisha wananchi kutokushiriki uchaguzi mkuu huo wa kikatiba October mwaka huu 2025, mpaka pale matakwa ya chama hicho yatakapotimizwa.
Wengi wao...
Madiwani wa jiji la Arusha wamemuomba Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda ikimpendeza muda utakapofika achukue fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini ambalo kwa sasa lipo chini ya Mrisho Mashaka Gambo.
Wakizungumza Naibu Meya wa jiji la Arusha, Abraham Mollel na Diwani wa kata ya...
Mbunge wa Jimbo la Geita Dkt. Joseph Kasheku Musukuma, amesema kuwa milango iko wazi kwa yeyote mwenye nia ya kugombea ubunge katika jimbo hilo kwenye uchaguzi wa mwaka huu.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio...
Awali ya yote nawasalimu katika jina la Mungu Baba wa Mbinguni na amani ya Bwana wangu iwe pamoja nanyi.
Mimi kama kijana wa miaka 35 mwenye shahada ya kwanza ya Uchumi na ni mtumishi wa Umma nimeamua kuingia kwenye siasa na nitagombea ubunge mwaka huu kwaani sababu za kugombea ninazo na uwezo...
Miaka mitano imeshaisha sasa miamba inaenda kuomba nafasi kwa miaka mitano mingine kisha wakapige makofi bungeni na kusisitiza kuwa vijana wajiajiri ilihali wao wamekomaliaga hapo tu.
===
Mbunge Mlugo ameaga rasmi katika Kikao cha Bodi ya Barabara kwa niaba ya wabunge wenzake, akihitisha kwa...
Hivi mbunge anakosa hela ya kuchukulia fomu mpaka achangiwe? Na wanalipwa posho si chini ya laki sita kila siku huko bungeni, ni yale yale wanaomchangia Rais kila siku.. Mshana Jr weka neno hapa
====
Mbunge wa jimbo la Itilima Njalu Silanga amechangiwa pesa takribani 1,586,000 kwa ajili ya...
Wakili Mwanaisha Mndeme ambaye ni Katibu wa Idara ya Mambo ya Nje ya ACT Wazalendo, na Waziri Kivuli Viwanda na Biashara wa chama hicho, leo tarehe 6 Februari 2025 ametangaza nia ya kugombea ubunge wa Jimbo la Kigamboni mkoani Dar es Salaam katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.
Wakili...
Utangulizi;
Ninapenda kuwajulisha rasmi kwamba Davis Mosha, ambaye ni bilionea na mfanyabiashara maarufu, atagombea ubunge katika jimbo la Moshi Mjini kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba 2025
Hii ni hatua muhimu kwa ajili ya maendeleo ya jimbo letu...
C E O wa Manara Tv na Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM Haji Manara amefunguka kuwa miongoni mwa wanawake majasiri Duniani ni pamoja na Rais Samia Suluhu Hassan.
Akizungumza na waandishi wa Habari Manara amesema ni mwanamke gani anaweza kuvumilia matusi kila siku na akanyamanza kimya.
"Kuna muda...
Mnamo mwishoni mwa mwaka 2024;
Kijana mmoja timu mwamba, aliitwa ili kupewa maelekezo ya kuratibu harakati za mwamba ili abakie kwenye kiti.
Kijana huyo anayejiita mwandishi nguli alipokea asali hiyo kupitia kwa mtoto wa mwamba.
Moja ya matumizi ya kwanza kabisa ya asali ile kijana huyo...
Anasema mimi ni kusudio la Mungu, hata siku zilizopita alipata maono kuhusu mimi. Nimemuacha akiwashawishi waumini wanipigie kura mwaka huu.
Mtume na Nabiii ametisha, atapata mwaliko bungeni.
Uzi tayari
Habari zikufikie kwamba Paul Makonda amebadili gia angani sasa sio Kigamboni tena bali Arusha.
Makonda hawezi kugombea willaya aliyozaliwa maana kwenye kampeni itamletea shida, wapinzani wake wakifukua makaburi kumleta mwenye jina lake.
Kila anachikifanya Makonda pale Arusha ni maandaluzi ya...
Kupiga kampeni ya kugombea ubunge Tanzania ni mchakato unaohitaji maandalizi mazuri, mkakati wa kina, na kuzingatia sheria na taratibu za uchaguzi. Fuata hatua zifuatazo:
1. Elewa Sheria na Taratibu za Uchaguzi
Soma na kuelewa Sheria ya Uchaguzi wa Tanzania, kanuni za NEC (Tume ya Taifa ya...
na kugombea urais kwenyewe, itategemea uwezekano wa kupewa fursa hiyo ya kugombea, hasa kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo chadema,
duru za kisiasa zinaeleza, uwezekano huo upo, tena mkubwa sana, lakini pia ikiwa ni vigumu na ikishindikana, basi planB itatumika bila mbambamba yoyote ili...
Makonda ni very ambitious, ni ngumu sana kutosheka na cheo cha RC, ili kuwa na vyeo venye power kubwa zaidi kama Uwaziri njia ya uhakika ni kuwa mbunge.
2020 alikurupuka ila round hii itakuwa kajipanga vilivyo
swali, je atatumia jimbo gani?
arusha
asubuhi
christian
dar
dar es salaam
jimbo
kishindo
kugombeakugombeaubunge
makonda
mapema
mkoa
mkoa wa arusha
mwanza
paul makonda
sana
ubunge
ukuu wa mkoa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.