Watangazaji nguli nchini Zembwela, Kitenge na Hando Leo wameuponda sana Uhamisho wa Mchungaji Msigwa Kutoka Chadema kwenda CCM
Kupitia Wasafi FM Zembwela amesema mchungaji Msigwa Leo ndio anaona Maamuzi ya Chadema hutolewa na Mbowe Peke yake Wakati yuko Chadema Kwa Miaka 20 sasa
Naye Kitenge...
Msigwa hakuwa mwanachama wa kawaida Chadema, alikuwa kiongozi mwandamizi mwenye dhamana ya kusimamia makamanda na wanachama wa Chadema kanda ya Nyasa, na alikuwa pia mjumbe wa kamati kuu Chadema Taifa.
Anajua na kufahamu mambo na vitu vingi sana ndani ya chadema. Anajua vema nia, uwezo, malengo...
chadema
hali
kuelekea uchaguzi 2025
kuhamachadema
kukata
kukata tamaa
kuondoka
matukio ya siasa tanzania
mchungaji msigwa
mwingine
peter msigwa
siasa tanzania
tamaa
Kitendo cha mpinzani kuhamia kwao na muda si mrefu akala teuzi ya maana kabisa chomboni huku wao kama wazawa wakiendelea kuimba na kusifu hua kinawaumiza sana.
Mimi sio nabii ila natabili bwana pasta soon anakula kitengo alafu wakereketwa wataendelea kukerwa wakiwa benchi;
Ni ukomavu, ujasiri na utashi wa kipekee sana kisiasa. Ni uamuzi mgumu na mzito sana kwa mwanasiasa. Kuachana na mazingira ambayo uliishi na watu ulo wazoea vizuri sana, na kuungana na watu wapya na wenye, itikadi, malengo na nia tofauti kabisa na chama ulichotoka. ni uthubutu wa kipekee sana...
Orodha ya baadhi ya waliowahi kuwa wanachama wa CHADEMA,
Hawa wote siku wanahama CHADEMA walisema Tatizo la CHADEMA ni mwenyekiti Mbowe,
Hizi ni baadhi ya " Quotes " zao
1. Zitto Zuberi Kabwe: "Naondoka CHADEMA tatizo ni Uenyekiti wa CHADEMA"
2. Dkt Willbroad Slaa: " Nimeondoka CHADEMA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.