Wengi hawajui Kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM wa sasa, Stephen Wassira aliwahi kuhamia NCCR Mageuzi ilikuwa u-Star
Masumbuko Lamwai akahamia CCM ulikuwa u-Star
Juliana Shonza akahamia CCM ulikuwa u-Star
Mrema akahamia NCCR Mageuzi ulikuwa u-Star
Funga KAZI Laigwanan Lowassa akahamia CHADEMA...
Eti wadau, hii itasaidia kupunguza matumizi kwa hizi third world countries kama Tanzania?? How does this sound..
Mfano: Kafa Magufuli, akaingia Philip Mpango bila gharama za uchaguzi..
~ SIPENDI SIASA ~
Wewe ukishahama chama jikite na ya huko ulikohamia Ili kuimarisha Ofisi Yako Mpya
Kule ulikotoka mabaya yao waachie wenyewe
Kumkumbuka mliyeachana ni dalili za Wivu
Jumaa Mubarak 😀😀
Soma Pia: Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
Je, ni nani na ni kutoka chama gani cha upinzani?
Ni suala la muda tu linalosubiriwa ili muungwana huyo aweke wazi uamuzi wake huo muhimu, ambao pia ni haki na uhuru wake kikatiba.
Ni muhimu kua wastahimilivu na wenye subra.
Unahisi amechochewa na nini kufikia na kuchukua uamuzu huo?
Wapo wanachama ndani ya vyama vya siasa wanaoshikilia misimamo ya kupinga agenda zitakazokiimarisha chama. Ndani ya vyama wamo wanachama ambao wamenunuliwa bila kuchukuliwa. Unaweza kumnunua mbuzi wako halafu ukamuacha palepale kwa mfugaji kwa muda au milele aendelee kuzaa kutokana na sababu...
Kila siku kumbuka kuwa mfuasi binafsi wa Rais. Rais hawezi kukusaliti. Rais ni nchi. Nchi ni Rais.
Urais ndio cheo cha juu cha kisiasa kote Duniani. Hakuna zaidi ya hapo. Chama cha Rais ni nchi yake. Hawezi kuisaliti.
Mwanasiasa yeyote anaweza kuisaliti itikadi ya chama chake cha siasa na...
Siku alipohama Dkt. Slaa, vijana wengi wa CHADEMA walivunjika moyo. Na ndiyo ikawa mwanzo wa kupungua kwa kishindo na nguvu ya maandamano ya CHADEMA.
Hata walipofuata wengine akina Mashinji, Katambi, n.k hakuna aliyestuka tena, maana watu waliwapuuza.
Ni muda umepita sasa, hatujashuhudia hizi...
Kuna uvumi mkubwa sana ndani ya CHADEMA kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe hawataki ndani ya chama viongozi wenzake walioko ndani ya Kamati Kuu ya sasa CHADEMA.
Inasemekana kuwa Mbowe anahisi wajumbe hao wa Kamati Kuu wana mrengo wa kuunga mkono harakati za Makamu Mwenyekiti...