Katika kipindi cha michezo cha Redio Clouds, Nimemsikia kiongozi wa Simba akisema kuwa Simba imepata maombi toka Zanzibar, Zambia, Burundi, Rwanda na DRC
wakiwaomba waihamishie timu ya Simba kwenye ligi zao iwapo mgogoro wao na TFF usipofikia muafaka.
Je, ukiwa mdau wa Soka, ungetamani Simba...