kuhama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Umewahi kutamani Kuhama mtaa kwasababu ya mambo ya Majirani zako?

    Kwenye kuishi tunakutana na mengi sana. Unaweza kuwa na nyumba yako kali na maisha yako safi tu ila aina ya Majirani wanaokuzunguka wakafanya uone kero ya maisha na kutamani kuondoka eneo hilo ila unashindwa kwasababu ndio ushajenga hapo. Tupe experience yako eneo unapoishi au wewe naye ndio...
  2. Kuna watu wana tabia nyeusi, akiwa jirani yako unatamani kuhama umpishe

    Kuna mtu kahamia jirani nyumba ya pili, ana wiki ya 3 tu tangu ahamie ila nishajutia ujio wake kwa tabia zake, sijui katoka wapi huyu mtu jamani natamani hata kuhama nimpishe maana kumhamisha siwezi. Ana tabia nyeusi sana, hata sijui niziitaje maana anaongea lugha ya matusi sijapa kuona huyu...
  3. Kuna kero kubwa kwa Watumishi wa Umma wanapotaka kuhama au kubadili taasisi

    Mdau wa Jamii Forums anaeleza... Mimi ni mtumishi wa Umma kuna jambo ambalo limekuwa kero kwa Watumishi wengi, ni kuhusu kuomba uhamisho kutoka Taasisi moja kwenda nyingine au kuomba kwenda kufanya ‘interview’ ya kazi. Kuna mambo kadhaa ambayo yanafanya kuwe na ugumu katika kufanikisha hilo...
  4. Msaada kuhusu kuhama shule A-Level (advance)

    Wadau kama mnavojua selection zimetoka Jana na mdogo wangu amepangiwa huko Mbozi - Songwe shule ya Simbega. Yaani ni mbali kutoka hapa na nauli yake ni kubwa. Huyu dogo kapiga sayansi vizuri, sema wamempanga HGE na hatuelew tufanye nini. Kwahiyo wajuvi tusaidiane muongozo wa kuhama shule A-Level.
  5. Hadi sasa sijutii kuwepo tigo postpaid, sioni dalili yoyote ya kuhama labda tu voda supakasi waje na vifurushi vya ziada kwa bei nafuu

    Ni tangu nwezi wa saba nafaidi mema ya internet ya Tigo postpaid. sina haja ya kujibana ama mambo ya kuzima data, natwanga tu. Offcourse kulikuwa na kash kash za speed kushuka usiku ila nilikuja kutatua tatizo kwa kutafuta wifi router naitega sehem yenye network internet speed saf tu. GB 80...
  6. Watu wameanza kuhama nchi mapema kabisa

  7. Kuhama kwa hiyari Ngorongoro ni pigo kwa wasioitakia heri Serikali, wenye uchu wa madaraka

    KUHAMA KWA HIYARI NGORONGORO NI PIGO KWA WASIOITAKIA HERI SERIKALI, WENYE UCHU WA MADARAKA Tuhuma za kuunga unga zasambazwa kila kona kuichafua serikali, watendaji wake Mitandao ya kijamii yatumika kusambaza uwongo Watumishi wa NCAA wasio waaminifu watumia UDINI, UKABILA Kuhamasisha chuki dhidi...
  8. Masikini na wachafu wanateseka na kuaibika sana wanapohama makazi

    Masikini atateseka km nje ni mtu wa Show-off, Mchafu wewe huna pa kuponea, maana hali ya uchumi haihalalishi uchafu hapo sasa lazima uwe na timing ya giza na majiranii. Maana kwenye kuhama bana! watu sikuhio utaona kama wameongezeka halafu kila yule unahisi anakuangalia. Ukiwa zako ndani...
  9. Je, naruhusiwa kuhama chuo?

    Naomba kujua utaratibu wa kuhama chuo kwa ngazi ya diploma (Vyuo vya Afya) Nilikuwa na paper ya sup na nilishaimaliza. Je, naruhusiwa kuhama chuo?
  10. Waliogoma kuhama Ngorongoro wajuta

    Ukame na njaa inayoendelea kutikisa mkoa wa Arusha na baadhi ya maeno nchini umewafanya wananchi waliokataa kuhama kwa huyari kutoka Bonde la Ngorongoro kwenda kijiji cha Msomero katika Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga wajuta. mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro, RAYMOND MANGWALA alisema kutokana na...
  11. Msaada: Nahitaji kuhama kutokea Taasisi A kwenda Taasisi B za Serikali, Nifanyeje?

    Habarini ndugu zangu wa JF natumahi nyote ni wazima! Tafadhali naombeni ushauri juu ya hiki kisa changu. Mimi ni mtumishi mpya wa serekali ,nafanya kazi taasisi A ambayo haiko kwenye mfumo wa cheki namba wala huduma za lawson. Nina miezi minne kazini! Kabla sijasaini offer nilikuwa na pending...
  12. D

    Utaratibu wa kuhama Taasisi Serikalini

    Habari, Mimi ni Auditor katika ofisi ya CAG, naomba kufahamu utaratibu mzuri wa kuhamia BOT. Asanteni
  13. Formula; 'Ondoka' 'Acha' ndio maana halisi ya kupata Mafanikio

    Formula; "ONDOKA" 'ACHA' NDIO MAANA HALISI YA KUPATA MAFANIKIO. Anaandika, Robert Heriel Mwanafalsafa Nitakuambia ukweli na siri wala sitakuchaji hata sumni wala shilingi yoyote. Vitu tulivyopewa bure tunavitoa Bure. Wala usinipe sifa yoyote Kwa maana sistahili sifa. Wala usinishukuru Bali...
  14. Uliza chochote kuhusu kuhama Chuo kwa upande wa vyuo vikuu

    Wanafunzi naomba muulize chochote kuhusu kuhama Chuo /vyuo vikuu .
  15. Je, kuna uhusiano wa kuhama kozi au chuo na kupata mkopo?

    Ndugu zanguni hebu nisaidieni Kivi kuna uhusiano kati ya kuhama kozi au chuo na upataji wa mkopo wa elimu?
  16. Tetesi: Wamasai waliogoma kuhama Loliondo kutuhumiwa kwa uhamiaji haramu

    Sakata la Loliondo lachukua sura mpya baada ya Serikali kuamua kutumia kigezo cha Uhamiaji Haramu ili kuwaondoa wamasai kwa nguvu kwenye eneo hilo alilouziwa mhamiaji kutoka nchi za kiarabu na kusababisha mgogoro mkubwa kwa wananchi na serikali. Mama Samia Rais wetu mpendwa tunaomba ingilia...
  17. Q

    Hatuoni mwendelezo wa Maasai wa Ngorongoro kuhama

    Zipo kaya zaidi ya laki moja, wakazi zaidi ya 150,000, mifugo zaidi ya milioni moja, lkn tunachoona ni lori moja limebeba ng’ombe 20 na coaster 3 zimebeba wakazi wasiozidi 50, tunajiuliza mifugo yao mingine wameiacha wapi na wakazi wengine wapo njiani wanaelekea Msomera kwa miguu? haiwezekani...
  18. Natamani kuhama CCM, kipi chama makini kati ya ACT Wazalendo na CHADEMA?

    Hawa Act Wazalendo wana harufu ya udini. Halafu kama vile hakuna Demokrasia zaidi ya ujuaji wa kiongozi wao wa Chama nasita kuhamia. CHADEMA walikuwa vizuri enzi za Dkt. Slaa na niliwakubali sana. Sasa hivi wanatia mashaka kuhamia. CUF. Nihamie chama gani? Naombeni msaada wenu.
  19. Biashara ya ukahaba imekithiri Sinza na kusababisha wakazi kuhama nyumba zao

    Dar es Salaam. Biashara ya ukahaba imevamia kwa kasi baadhi ya maeneo ya Jiji la Dar es Salaam, na kusababisha kero na adha kubwa katika makazi ya watu, hasa eneo la Sinza kiasi cha kuzifanya baadhi ya familia kuhama nyumba, Mwananchi limebaini. Wazazi na walezi wanasema hali hiyo pamoja na...
  20. Tigo kuhama kutoka Derm complex kwenda pssf towers

    Hatimaye skyscraper hili refu nalo litapata mpangaji kidogo wa maana ,asee linatia huruma kwa sasa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…