kuhama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kuhusu kuhama taasisi

    Habari ndugu wanajamiii forum, mimi ni mtumishi wa taasisi fulani ya serikali, nilipata nafasi ya kuhamia katika taasisi fulani hapa nchini na barua yangu ilipitishwa na mwajiri wangu, Ila Sasa barua tangu nimetuma utumishi hadi sasa sijajibiwa na kila ukiuliza wanajibu inashughulikiwa, wadau...
  2. Mwenendo wa Uhamaji wa Waafrika katika nchi zao unaelezwa kuongezeka siku hadi siku

    Mwenendo wa Uhamaji wa Waafrika unaelezwa kuongezeka siku hadi siku African Migration Trends to Watch in 2022 – Africa Center for Strategic Studies wanaeleza kuwa Idadi ya Uhamaji wa Waafrika ndani na Nje ya Afrika inaelezwa kuongezea karibu mara mbili zaidi ya ilivyokuwa mwaka 2010, na...
  3. J

    Waziri Mkuu apokea orodha ya majina 453 ya wananchi wa Ngorongoro waliokubali kuhama kwa hiyari yao

    Waziri mkuu mh Majaliwa leo amepokea orodha ya awali ya wananchi 453 walioomba kuhama kwa hiyari katika hifafhi ya Ngorongori. Waziri mkuu amewaahidi wamasai hao kwamba serikali itawapeleka kuishi sehemu yoyote watakayoichagua wao wenyewe. Source: ITV habari! ===== Waziri Mkuu Kassim...
  4. Waziri Mkuu: Kama Mtu anataka kuhama Ngorongoro, Serikali itamuhudumia

    Picha: Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema suala la idadi ya watu ndani ya Hifadhi ya Ngorongoro ni kubwa, hivyo kama kuna watu watakaotaka kuhama kwa hiyari serikali itawahudumia. Pia amewataka wakazi wa Ngorongoro wasiwalazimishe watu watu kubaki kwa kuwa...
  5. Gharama za vifurushi vya intaneti zapandishwa tena kimya kimya. Je, ni censorship ya aina yake?

    Ni mwendo ule ule, umafia wa kimya kimya, kwa Voda na Tigo wameanza kutesti mitambo kwa kkupunguza GB za vifurushi vya mwezi. Kuanzia sasa tutegemee lolote, hii ni trailer tu, bado muvi kamili ya machinjo yatayofanyika kimya kimya gizani usiku wa manane, nadhani tunaweza kuamka asubuhi...
  6. Simba kuhama nchi?

    Katika kipindi cha michezo cha Redio Clouds, Nimemsikia kiongozi wa Simba akisema kuwa Simba imepata maombi toka Zanzibar, Zambia, Burundi, Rwanda na DRC wakiwaomba waihamishie timu ya Simba kwenye ligi zao iwapo mgogoro wao na TFF usipofikia muafaka. Je, ukiwa mdau wa Soka, ungetamani Simba...
  7. M

    Minong'ono kuwa Mwamposa anatakiwa kuhama Tanganyika Packers December inazidi Kupamba Moto. Je, ina ukweli wowote?

    Kama ni kweli KEROZENE nitaumia na Kusikitika mno kwani kama kuna mahala ambapo huwa napata Wanawake wepesi na kula nao Uroda kiurahisi na situmii Gharama yoyote ile ni wa hapo Kwake Mtume Mwamposa Tanganyika Packers Kawe. Tafadhali Serikali kama Minong'ono hii ni ya Kweli naomba msitishe...
  8. TAMISEMI: Haiwezekani kuandaa mfumo kuhama wa tumishi wakubadilishana vituo wakafanya online transfer

    Napendekeza TAMISEMI wangeanzisha mfumo wa kubadilishana vituo vya kazi yaan kuwe na mfumo ambao unawatambua watumish wote na vituo vyao vya kazi kwa kila idara halafu watumushi waweze kuutumia Mfano:mfumo unakuwa na transfer request hivyo mtumishi anaye taka kuhama ana request wilaya au kata...
  9. K

    Suala la kuhama mbona linaonekana Kama ni mateso kwa watumishi wa umma?

    Siku ya Alhamisi Waziri wa tamisemi alitoa kauli ya kuisitisha uhamisho wa watumishi walioko chini ya Wizara yake (TAMISEMI) Ila akasisitiza labda mtu akitaka toka mjini kwenda Kijiji ndiye anayerusiwa kupata kibali Cha kuhama. Swali langu je kuhama si ni haki ya kila mtumishi? Siyo kila mtu...
  10. M

    Namna gani mtumishi wa umma anaweza kuhama idara moja hadi nyingine?

    Nataka kupata msaada ni namna gani mtumishi wa umma anaweza kuhama idara moja anayofanyia kazi hadi idara nyingine? Mfano mtumishi wa Idara ya mahakama kuhamia idara ya ardhi. Au ardhi kuhamia mahakama. Msaada kwenye tuta.
  11. M

    Ni Vigezo gani Mtumishi was Umma anaweza kuhama au kuhamishwa kabla hajakamilisha miaka mitatu kituo kimoja!?

    Nafahamu kuwa ili Mtumisshi awez2 kihama kituo chake Cha kazi no sharti awe amekaa.k2a.mida usiopunguaa miaka 3,vinginevyo mwajiri ndiye amhamishe! Je Standing Order inasemaje iwapo Mtumishi ana matatizo ya kifamilia ambayo no Genuine mfano ...kuumwa,kuuguliwa nk !
  12. Anadai ana mimba yangu, kutoa hataki, kulipa kodi hataki, kuhama hataki

    Nina kajinyumba kangu kadogo kakushikia kiwanja Goba kunguru, kana vyumba viwili vya kulala, sebule, chumba kimoja kina choo na bafu ndani na pia kina choo cha wageni jirani na sebuleni. Yaliyonikuta najuta kuzaliwa jamani, natamani nilie, kilio hakitoki, natatamani niende kwa Mwamposa nikanywe...
  13. Msaada wa muundo wa barua ya kuhama kituo Cha kazi

    Wakubwa heshima kwenu, naomba kusaidiwa muundo wa barua ya uhamisho. Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi nataka nahama kutoka Halmashauri moja kwenda nyingine Binafsi sifahamu njia za kupitia ili nifanikiwe kwa haraka. Natanguliza shukrani za dhati kabisa
  14. Ushauri: Ahamie wapi kati ya COSTECH na TAEC (Atomic Energy)

    Wakuu naamini kazi zinaendelea! Msaada tafadhali, mdogo wangu anahitaji kuhama toka wizarani kwenda moja kati ya mashirika haya COSTECH na TAEC( Atomic Energy) ameshapata barua za kukubaliwa anakohamia shida imebaki kuchagua aende ipi kati ya hizo mbili naomba mwenye kujua scale za salary za...
  15. Sitamani tena kuishi Dar, amenifedhehesha sana kuniibia simu yangu

    Kuna Brother nilimwomba anisaidie kunifundisha kunyoa ili nikisha jua nitafute ajira kwenye Saluni hizi za kiume. Juzi bro alikuwa ametoka ameniacha peke yangu Saluni basi kuna kijana akawa amekuja pale kumuulizia Bro nikamwambia Bro ametoka. Jamaa akaniambia kuwa kuna dada mtaa wa pili ana taka...
  16. Mnyika: Nyalandu na mwenzake ni wasaliti, wameshindwa kuvumilia baada ya mateso ya kuporwa ushindi wa ubunge mwaka 2020

    Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika amesema chama hicho kilifahamu kuwa Lazaro Nyalandu na Seleman Mathew, ambao wote walikuwa wajumbe wa kamati kuu ya chama hicho, wangeondoka kutokana na mienendo yao waliyokuwa wakiionyesha kwa hivi karibuni. “Hawa ni wasaliti, wamejiongeza wameshindwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…