Huyu jamaa kama kweli ni mchungaji basi hajapitia kwenye vyuo vya kichungaji na hajui kumtangaza mtu mbele ya hazira ya watu kwamba ni mchawi ni kosa kisheria na ni hatari kubwa sana kwa mlengwa.
Kwanza jamii ya mtu aliyetajwa kwamba ni mchawi inaweza kumtenga na kumhusisha na matukio...