kuharibika ujauzito

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Umuhimu wa Sindano ya Anti D kwa wanawake wenye kundi negative la damu

    Mwanamke mwenye kundi lolote la damu ambalo ni negative (A-, B-, AB- na O-) akipata ujauzito kutoka kwa mwanamme mwenye kundi la damu ambalo ni positive (A+, B+, AB+ au O+) mwili wake unaweza kutengeneza kinga mwili ambazo huwa ni hatari kwa ujauzito unaofuata. Athari za kinga mwili hizi huanza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…