Habari wakuu,
Naomba msaada wa mawazo, Mungu ametujalia mimi na mke wangu tumepata mtoto. Ila ana siku mbili halali kabisa usiku. Analia tu na ana harisha kamba kamba kama makamasi. Hospital wanasema ni kawaida eti kwa mtoto mchanga.
Sasa nashindwa kuelewa kawaida kivipi mtoto kutokufunga...