kuheshimika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Sifa moja wapo ya kuheshimika ni kutopatikana kila muda

    Kuna kitu kinaitwa "Scarcity Principle" (Kanuni ya Uhaba). Kitu chochote kinachopatikana kirahisi na kila muda, thamani yake huwa inashuka. Ukiwa mtu wa "ndio" kila wakati na unapatikana saa yoyote, watu wanaanza kuchukulia uwepo wako kama jambo la kawaida sana (taken for granted). Kutokuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Ongeza AURA Yako: Jinsi ya Kuheshimika Bila Maneno

    Jinsi ya kuongeza AURA yako (Define Aura As Ule Utulivu Wenye Nguvu Unaomfanya Kila Mtu Akuheshimu Na Kuhisi Uwepo Wako Bila Hata Wewe Kuongea Sana). 1. Ficha michongo yako, weka matokeo mezani. Kuropoka sana kuhusu mipango yako kunavuja nishati (energy) yako bure. Matokeo huwa yana sauti...
  3. L

    JamiiForums Tanzania PICHA: Huyu Ndiye Mstaafu Nguli Wa Diplomasia Na Siasa za Kimataifa Aliyebakia Barani Afrika Na kuheshimika Kupita Kiasi

    Ndugu zangu Watanzania, Katika Bara lote La Afrika Kwa sasa limebakiwa na Mwanadiplomasia Mmoja tu na pekee mstaafu ambaye ndiye Nguli ,bingwa na bobezi katika siasa za kimataifa na mwenye uwezo wa ushawishi na kushawishi jambo na kukubalika. Ndiye Mwenye Uwezo , kumbukumbu,maarifa ,ufahamu wa...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Tupendekeze taasisi neutral yenye kuheshimika ili iwaite mezani Samia na CHADEMA kutuliza hali!

    Ndugu wanabodi mimi naomba kupendekeza kama kunaweza kupatikana taasisi yoyote iwe ndani au nje ya nchi yenye kuheshimika na kuaminika isiyo na upande wowote basi tuialike iwaite mezani serikali na chadema ili kuondoa hizi chokochoko zinazowndelea. Serikali inaweza kudharau na kuona kana kwamba...
  5. JamiiForums Tanzania Iliyokuwa Tanzania ya Kuheshimika na Mfano bora kwa Nchi nyingi za Afrika ya Hayati Baba wa Taifa Nyerere leo ndiyo imefikia hapa?

    Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Mtwara Chini ya Mwenyekiti Ndugu Abuu Athumani Yusuphu Katika mwendelezo wa kampeni yao ya “AMKA TWENDE NA SAMIA 2025" wamefanya tambiko maalum kwa kushirikiana na wazee wa kimila wa mkoa huo, kumuombea Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  6. JamiiForums Tanzania Shukurani kwa hili jukwaa limenifanya leo hii naanza kuheshimika kwa watu wangu wa karibu

    Kwanza natanguliza shukurani za dhati kwa hili JUKWAA la tenda na ajira na members na dhumuni langu kuhusu huu uzi nikutoa shukurani Nilijiunga na jukwaa hili mwaka 2021 baada ya kuona baadhi ya post za jamii forum katika mitandao ya kijamii pamoja na heka heka za mmiliki wa hii forum katika...
  7. JamiiForums Tanzania Ukitaka uheshimike zaidi na Mwanamke kama wewe ni Mwanaume usimsikilize

    Sina haja ya salamu. Ninakukumbusha wewe Mwanaume ili uheshimike na mwanamke usimsikilize mwanamke, kwa sababu mwanamke jinsi alivyoumbwa akikwambia anataka ufanye hivi maana yake anataka ufanye vile yaan vice versa is true kwa hio anaweza akakwambia umpe limao kumbe mwenzako anataka umpe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…